future tech
JF-Expert Member
- Aug 26, 2023
- 305
- 455
Mkuu hujitambuiWagogo ndio ombaomba wa taifa.
Mkuu hujitambuiWagogo ndio ombaomba wa taifa.
Watakwambia masikini na wanae tajiri na Mali zake!Maskini hapaswi kuzaa kabisa.
Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani.
Napata huzuni na hasira sana nikionaga watoto wadogo wakiranda randa barabarani, vyuoni au mahotelini kuomba omba kwa sababu ya mafukara mawili yaliyoleta kiumbe duniani bila kuwa na uwezo wa kulea na kuhudumia.
Labda wewe. Matonya ndio muasisiMkuu hujitambui
Na Ndio Maana Wanazengo Wakakiita Chuo Cha Kata.....Nimeshangaa na mie, eti kila mtu ana access ya kuingia maeneo ya chuo. Lol
OkayLabda wewe. Matonya ndio muasisi
Haswaaa.Na Ndio Maana Wanazengo Wakakiita Chuo Cha Kata.....
Degree niliyonayo, nikikutajia utazimia km sio kufa kabisaa.Kata ya nyoko usikute hata degree huna
Haya sasa, battle ya akina Rutashobya wenye elimu kubwaDegree niliyonayo, nikikutajia utazimia km sio kufa kabisaa.
Km ulisoma chuo cha kata, Poleeee. 😂😂😂😂
Chuo cha kata, walinzi watoke wapii? Can u imagine, eti wanafunzi wanawatumia hao watoto kuwatumikisha kazi,Sasa hao ombaomba sinawa hatarisha usalama wa wanafunzi na Mali za chuo.
Kwani hiki chuo hakuna walinzi mfano Suma JKT
Hakuna ufahari wowote wa mtu kuwa na watoto wengi halafu hawezi kuwahudumia.Watakwambia masikini na wanae tajiri na Mali zake!
Hapanaa!! Sema huyo jamaa kazingua kunidharau hivyo.Haya sasa, battle ya akina Rutashobya wenye elimu kubwa
Wanawatumia kuwafuliaChuo cha kata, walinzi watoke wapii? Can u imagine, eti wanafunzi wanawatumia hao watoto kuwatumikisha kazi,
Nini hikii? Lol
Ko Dent wa chuo anamtumia mtoto huyo mdogo amfulie nguo zake?Wanawatumia kuwafulia
Tajaaaa mumyDegree niliyonayo, nikikutajia utazimia km sio kufa kabisaa.
Km ulisoma chuo cha kata, Poleeee. 😂😂😂😂
Unajifanya hujui wakati wamekutumia ujumbe nasikia tangu janaWako wapiii?
Asa degree ndo uharo gani kwa mtu mweusi mzee baba?, degree mpaka bodaboda na wadada wauza matunda kwenye beseni wana degree leo utanambia degree ina faida nitakuelewa?Kata ya nyoko usikute hata degree huna
Wewe limekukutia wapi mzee baba si utulieAsa degree ndo uharo gani kwa mtu mweusi mzee baba?, degree mpaka bodaboda na wadada wauza matunda kwenye beseni wana degree leo utanambia degree ina faida nitakuelewa?