UDOM hao omba omba ndani ya chuo na Watoto wadogo wanaozagaa kwenye cafeteria hatuwaelewi, liangalieni hili

Tumechukua maoni yako tunaangalia namna ya kuwapa msaada wa kudumu hao ndugu zetu.
 
Maskini hapaswi kuzaa kabisa.

Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani.

Napata huzuni na hasira sana nikionaga watoto wadogo wakiranda randa barabarani, vyuoni au mahotelini kuomba omba kwa sababu ya mafukara mawili yaliyoleta kiumbe duniani bila kuwa na uwezo wa kulea na kuhudumia.
Inasikitisha sana
 
Kwa wale waliosoma ama waliowahi kufika Chuo kikuu cha Dodoma, hasa college ya social na Humanities, utaona wamama wengi na wazee wanazagaa kwenye milango cha cafeteria wakiwa na watoto wadogo wakiomba hela kwa wanafunzi. Shida ni wale watoto wanaokuwa nao kwamba hawasomi? maana ni watoto wadogo tena wengi wao ni mabinti pia je, wazazi wao wanataarifa kuwa watoto wao wanakuja kwenye kampasi na wale wamama wanaoomba omba?

Alafu kuna vikundi vya watoto hasa wa kiume [miaka 8 hadi 12] wanazagaa kwenye kamapasi wakiomba hela kwa wanafunzi au kununuliwa chakula. Ukiwasikiliza utawasikia hawana wazazi, mara wazazi wamesafiri, mara nyumbani hawajapika chakula na wengine wanageuka kuwa watumwa wa wanafunzi. Wanawafuatia chakula wanafunzi na kuwapelekea kwenye hosteli zao huku wakiambulia chakula au pesa.

Wale watoto ni wadogo, kwa umri ule wanapaswa kuwa shuleni, na kama ni kweli hawana wazazi uongozi wa chuo umechukua hatua gani?

Soma pia: UDOM ni chuo chenye kozi nyingi za ajabu ajabu na kimetumika kuwaharibia vijana wengi future zao, sasa wameanza kujishtukia!
Viongozi wa UDOM wakamatwe na kunyongwa haraka sana maana wameshindwa kusimamia hiki chuo kwani ipo siku tutakuja kushitukia wagogo wamehamia hapo shuleni na kuweka makazi hapo.
 
Asa degree ndo uharo gani kwa mtu mweusi mzee baba?, degree mpaka bodaboda na wadada wauza matunda kwenye beseni wana degree leo utanambia degree ina faida nitakuelewa?
😂😂😂😂😂 bora usemee wee.
 
Viongozi wa UDOM wakamatwe na kunyongwa haraka sana maana wameshindwa kusimamia hiki chuo kwani ipo siku tutakuja kushitukia wagogo wamehamia hapo shuleni na kuweka makazi hapo.
😂😂😂😂😂
 
Kwa wale waliosoma ama waliowahi kufika Chuo kikuu cha Dodoma, hasa college ya social na Humanities, utaona wamama wengi na wazee wanazagaa kwenye milango cha cafeteria wakiwa na watoto wadogo wakiomba hela kwa wanafunzi. Shida ni wale watoto wanaokuwa nao kwamba hawasomi? maana ni watoto wadogo tena wengi wao ni mabinti pia je, wazazi wao wanataarifa kuwa watoto wao wanakuja kwenye kampasi na wale wamama wanaoomba omba?

Alafu kuna vikundi vya watoto hasa wa kiume [miaka 8 hadi 12] wanazagaa kwenye kamapasi wakiomba hela kwa wanafunzi au kununuliwa chakula. Ukiwasikiliza utawasikia hawana wazazi, mara wazazi wamesafiri, mara nyumbani hawajapika chakula na wengine wanageuka kuwa watumwa wa wanafunzi. Wanawafuatia chakula wanafunzi na kuwapelekea kwenye hosteli zao huku wakiambulia chakula au pesa.

Wale watoto ni wadogo, kwa umri ule wanapaswa kuwa shuleni, na kama ni kweli hawana wazazi uongozi wa chuo umechukua hatua gani?

Soma pia: UDOM ni chuo chenye kozi nyingi za ajabu ajabu na kimetumika kuwaharibia vijana wengi future zao, sasa wameanza kujishtukia!
Huko pia kuna milembe na bunge ambalo kama ukiwa na d hata mbili unaweza kidhani bunge ni annex ya milembe.
 
Unajifanya hujui wakati wamekutumia ujumbe nasikia tangu jana
Jamanii, mbona nilisha respond, sema na mie nna matatizo yamenikuta,
Wacha tuangalie tunafanyajee, hope kila kitu kitakua sawa.
 
Sasa usiseme za wenzio wakati degree ya hata MWECA ni degree tu iwe ya COET au wapi zote ni degree mkuu
Ila L mie nilizungumzia kuhusu Degree? Au nilisema UDOM chuo cha kata? Wee ndo ulikuja na hoja ya degree, tena ukasema huenda sina.

Sasa makasiriko ya nn? Lol 😂😂😂😂😂
 
Kata ya nyoko usikute hata degree huna
Yuko sahihi hapa Tanzania kama haujasoma:

UDSM
MUHAS
SOKOINE
MZUMBE
ARDHI

Wewe ni kilaza mmoja tu.

Walio-graduate vyuo vya kata kama UDOM, SAUT and the likes of ndoto zao za kusomea masters ni UDSM na vingine tajwa hapo juu
 
Ila wagogo wana laana ya kuomba nyerere alitukosea sana kuweka makao pale wale binadamu ni ******* sijapata kuona, laana yao haitatuacha salama,, kama nchi kutoka kwenye hicho kifungo ni kuondoa makao makuu pale, kwa asili wana laana na roho za umaskini wa kutupwa
 
Yuko sahihi hapa Tanzania kama haujasoma:

UDSM
MUHAS
SOKOINE
MZUMBE
ARDHI

Wewe ni kilaza mmoja tu.

Yeyote aliye graduate vyuo vya kata kama UDOM, SAUT and the likes of ndoto zao za kusomea masters ni UDSM na vingine tajwa hapo juu
Una nini hapo mkuu wakati huu na elimu ya vyuo tajwa
 
Ila L mie nilizungumzia kuhusu Degree? Au nilisema UDOM chuo cha kata? Wee ndo ulikuja na hoja ya degree, tena ukasema huenda sina.

Sasa makasiriko ya nn? Lol 😂😂😂😂😂
Aya ngoja nikae kimya mie
 
Back
Top Bottom