UDOM hao omba omba ndani ya chuo na Watoto wadogo wanaozagaa kwenye cafeteria hatuwaelewi, liangalieni hili

Watakwambia masikini na wanae tajiri na Mali zake!
 
Sasa hao ombaomba sinawa hatarisha usalama wa wanafunzi na Mali za chuo.

Kwani hiki chuo hakuna walinzi mfano Suma JKT
 
Asa degree ndo uharo gani kwa mtu mweusi mzee baba?, degree mpaka bodaboda na wadada wauza matunda kwenye beseni wana degree leo utanambia degree ina faida nitakuelewa?
Wewe limekukutia wapi mzee baba si utulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…