UDOM kuanzisha kampasi Njombe. Kimaadili hii siyo sawa kabisa ktk nchi hii

huyu ana utindio wa ubongo. anapaswa kupuuzwa.
 
Acha ujinga wako we Jamaa, Serikali kudaiwa mabilioni na kuanzisha kampasi vinahusianaje?

Narudia kukwambia sio tuu Kampasi itaanzishwa Njombe Bali na vyuo vingine vitaamzisha Matawi kwenye Mikoa yote 14 ambayo haikuwa na vyuo Vikuu hapo awali.
 
We jamaa umeandika logic sana mungu akutunze, tanzania inatapanya sana pesa kwa matumizi yasiyo na ulazima huku yale ya ulazima yanayo mgusa moja kwamoja mwananchi yakiachwa , tuna viongoz wajinga sana hii nchi
Logic ipi hapo?
 
Mbona nyie ni wagumu sana kuelewa?

Narudia kuwaambia kwamba Samia Kupitia mradi wa HEET anajenga vyuo Vikuu Mikoa yote ambayo Haina na kupanua vilivyopo.

Hakuna Mkoa ambao umesahaulika kuanzia Lindi Hadi Simiyu.

Na Kwa taarifa tuu Samia ndio ameagiza hili kufanyika maana mtu mwenye akili kama mtoa mada alitaka vyuo viendelee kurundikwa kwenye Mikoa Ile Ile Samia akakataa huu ujinga.

View: https://youtu.be/gmUkeU6VTl8?si=w3SepfOoxbjq4sX1
 
Mtoa mada Ili usiumie sana kajinyo ge tuu maana tayari sio stori za kusikia ni confirmed Bil.18 zimetoka kuanza Ujenzi.

View: https://www.instagram.com/reel/C1M4zL-shvP/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Hivi unachosema ni kweli au tetesi?
 
Uo sahihi kabisa. Nchi hii ina mambo ya ajabu sana.
 
Natamani ningesoma mapema ili hii comment iwe juu isaidie na wengine.

Ni kwamba kuna pesa za mradi na sio pesa zao za ndani. Masharti ya kupewa pesa ni kujenga campus mahali ambapo hakuna chuo. Sio udom tuu, vyuo vyote vikubwa wanajenga mahali ambapo wewe hukudhani.

Huko lindi ulikotaka wewe wajenge kuna chuo kinajenga, lakini pia tanga, kigoma na sehemu nyingine pia wanajenga.

Kwahiyo soon utasikia kila chuo kikuu (kikubwa au kikongwe) kitakua na campus mahali pasiko tarajiwa, udsm, udom, mzumbe, sua.. vyote vipo kwenye mradi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…