UDOM kuanzisha kampasi Njombe. Kimaadili hii siyo sawa kabisa ktk nchi hii

Haya mambo sasa tuseme yanafanyika kiushabiki na pia kiukabila. Nimeona mitandaoni eti UDOM wanaanzisha kampasi mpya mkoa wa Njombe. Hii ni uharibifu wa pesa ya umma unaoongozwa na ukabila.

Ni uharibifu kwa sababu Kampasi kuu ya UDOM pale Dodoma mjini haijafikia kiwango chake cha udahili kama ilivyopangwa, wanafunzi 40,000. Kinakadiriwa kuwa na wanafunzi 25,000 tu. Ina maana miundombinu iliyopo, bado inatumiwa chini ya kiwango. Kwa nini chuo cha aina hiyo kianzishe kampasi nyingine mkoani Njombe?

Njombe ni mkoa mdogo sana ulio karibu na Iringa, na Mbeya na tayari Iringa kuna tawi la Chuo kikuu cha Dar es Salaam na Mbeya kuna chuo kikuu cha MUST! Huu uamuzi ulio na ukabila ndani yake.

VC wa UDOM anatoka mkoa wa Njombe. Ukiilinganisha na mikoa mikongwe isiyokuwa na matawi ya vyuo vikuu vya serikali huu siyo uamuzi wenye sababu. Kwa upande wa bara njombe ndo mkoa wenye idadi ndogo kabisa ya watu, kiasi cha laki 9 tu! Je, kwa idadi hiyo na ukiwa karibu na tawi la UDSM na MUST ya Mbeya, kuna dsababu ya kuwa na tawi la chuo ambacho hakijatimiza malengo ya kampasi kuu yake?

Maoni yangu tawi hilo lingepelekwa Mkoani Lindi au Mtwara ili kupunguza usafiri wa wanafunzi watakaopenda kubaki mikoa ya Kusini. Au lipelekwe KIgoma. Tuache ukabila wa kiasi hiki!
Igweee
 
Ni uharibifu kwa sababu Kampasi kuu ya UDOM pale Dodoma mjini haijafikia kiwango chake cha udahili kama ilivyopangwa, wanafunzi 40,000. Kinakadiriwa kuwa na wanafunzi 25,000 tu. Ina maana miundombinu iliyopo, bado inatumiwa chini ya kiwango
Hii ndio point kuu.
 
Haya mambo sasa tuseme yanafanyika kiushabiki na pia kiukabila. Nimeona mitandaoni eti UDOM wanaanzisha kampasi mpya mkoa wa Njombe. Hii ni uharibifu wa pesa ya umma unaoongozwa na ukabila.

Ni uharibifu kwa sababu Kampasi kuu ya UDOM pale Dodoma mjini haijafikia kiwango chake cha udahili kama ilivyopangwa, wanafunzi 40,000. Kinakadiriwa kuwa na wanafunzi 25,000 tu. Ina maana miundombinu iliyopo, bado inatumiwa chini ya kiwango. Kwa nini chuo cha aina hiyo kianzishe kampasi nyingine mkoani Njombe?

Njombe ni mkoa mdogo sana ulio karibu na Iringa, na Mbeya na tayari Iringa kuna tawi la Chuo kikuu cha Dar es Salaam na Mbeya kuna chuo kikuu cha MUST! Huu uamuzi ulio na ukabila ndani yake.

VC wa UDOM anatoka mkoa wa Njombe. Ukiilinganisha na mikoa mikongwe isiyokuwa na matawi ya vyuo vikuu vya serikali huu siyo uamuzi wenye sababu. Kwa upande wa bara njombe ndo mkoa wenye idadi ndogo kabisa ya watu, kiasi cha laki 9 tu! Je, kwa idadi hiyo na ukiwa karibu na tawi la UDSM na MUST ya Mbeya, kuna dsababu ya kuwa na tawi la chuo ambacho hakijatimiza malengo ya kampasi kuu yake?

Maoni yangu tawi hilo lingepelekwa Mkoani Lindi au Mtwara ili kupunguza usafiri wa wanafunzi watakaopenda kubaki mikoa ya Kusini. Au lipelekwe KIgoma. Tuache ukabila wa kiasi hiki!
We jamaa umeandika logic sana mungu akutunze, tanzania inatapanya sana pesa kwa matumizi yasiyo na ulazima huku yale ya ulazima yanayo mgusa moja kwamoja mwananchi yakiachwa , tuna viongoz wajinga sana hii nchi
 
Haya mambo sasa tuseme yanafanyika kiushabiki na pia kiukabila. Nimeona mitandaoni eti UDOM wanaanzisha kampasi mpya mkoa wa Njombe. Hii ni uharibifu wa pesa ya umma unaoongozwa na ukabila.

Ni uharibifu kwa sababu Kampasi kuu ya UDOM pale Dodoma mjini haijafikia kiwango chake cha udahili kama ilivyopangwa, wanafunzi 40,000. Kinakadiriwa kuwa na wanafunzi 25,000 tu. Ina maana miundombinu iliyopo, bado inatumiwa chini ya kiwango. Kwa nini chuo cha aina hiyo kianzishe kampasi nyingine mkoani Njombe?

Njombe ni mkoa mdogo sana ulio karibu na Iringa, na Mbeya na tayari Iringa kuna tawi la Chuo kikuu cha Dar es Salaam na Mbeya kuna chuo kikuu cha MUST! Huu uamuzi ulio na ukabila ndani yake.

VC wa UDOM anatoka mkoa wa Njombe. Ukiilinganisha na mikoa mikongwe isiyokuwa na matawi ya vyuo vikuu vya serikali huu siyo uamuzi wenye sababu. Kwa upande wa bara njombe ndo mkoa wenye idadi ndogo kabisa ya watu, kiasi cha laki 9 tu! Je, kwa idadi hiyo na ukiwa karibu na tawi la UDSM na MUST ya Mbeya, kuna dsababu ya kuwa na tawi la chuo ambacho hakijatimiza malengo ya kampasi kuu yake?

Maoni yangu tawi hilo lingepelekwa Mkoani Lindi au Mtwara ili kupunguza usafiri wa wanafunzi watakaopenda kubaki mikoa ya Kusini. Au lipelekwe KIgoma. Tuache ukabila wa kiasi hiki!
Nchi imekufa hii ushamba unazidi kuongezeka ni upuuzi mtupu. Baada ya kufocus kufungua center za kukuza uwezo wa wakulima, wafanyabiashara na wajasiliamali, agenda kibao, pembejeo, viwatirifu, ukame, irrigation, tax system, banking, saccos,
 
Haya mambo sasa tuseme yanafanyika kiushabiki na pia kiukabila. Nimeona mitandaoni eti UDOM wanaanzisha kampasi mpya mkoa wa Njombe. Hii ni uharibifu wa pesa ya umma unaoongozwa na ukabila.

Ni uharibifu kwa sababu Kampasi kuu ya UDOM pale Dodoma mjini haijafikia kiwango chake cha udahili kama ilivyopangwa, wanafunzi 40,000. Kinakadiriwa kuwa na wanafunzi 25,000 tu. Ina maana miundombinu iliyopo, bado inatumiwa chini ya kiwango. Kwa nini chuo cha aina hiyo kianzishe kampasi nyingine mkoani Njombe?

Njombe ni mkoa mdogo sana ulio karibu na Iringa, na Mbeya na tayari Iringa kuna tawi la Chuo kikuu cha Dar es Salaam na Mbeya kuna chuo kikuu cha MUST! Huu uamuzi ulio na ukabila ndani yake.

VC wa UDOM anatoka mkoa wa Njombe. Ukiilinganisha na mikoa mikongwe isiyokuwa na matawi ya vyuo vikuu vya serikali huu siyo uamuzi wenye sababu. Kwa upande wa bara njombe ndo mkoa wenye idadi ndogo kabisa ya watu, kiasi cha laki 9 tu! Je, kwa idadi hiyo na ukiwa karibu na tawi la UDSM na MUST ya Mbeya, kuna dsababu ya kuwa na tawi la chuo ambacho hakijatimiza malengo ya kampasi kuu yake?

Maoni yangu tawi hilo lingepelekwa Mkoani Lindi au Mtwara ili kupunguza usafiri wa wanafunzi watakaopenda kubaki mikoa ya Kusini. Au lipelekwe KIgoma. Tuache ukabila wa kiasi hiki!
Mlipokua kwenye kikao ulikua unapinga chinichini sasa ndio umehamia huku? Washakufahamu ngoja wakunyoroshe
 
Kikubwa kote huko vipelekwe vyuo vikuu
Hakuna haja ya kuwa na mavyuo utitiri ambayo hata hayana viwango.njombe imezungumza na vyuo kibao.mkoa wa iringa ina vyuo zaidi ya vitatu haya mbeya nayo ni hivyo hivyo.sasa wafikirie kupeleka vyuo ruvuma na Kigoma au rukwa
 
Peleka vyuo kote huko,

Rukwa kuna kile cha Mizengo,
Kigoma MUHAS wanajenga branch,

Vyuo vijengwe nchi nzima, watu wakiweza wasome nyumbani tu,
 
Sera ya serikali siyo Sera ya Kusiluka, tunamchafua bila data.
Serikali imeamua vyuo vikuu vyake viwe na matawi kwenye mikoa isiyo na vyuo vikuu. Udom-njombe, mzumbe -tanga kwa mfano.
 
Haya mambo sasa tuseme yanafanyika kiushabiki na pia kiukabila. Nimeona mitandaoni eti UDOM wanaanzisha kampasi mpya mkoa wa Njombe. Hii ni uharibifu wa pesa ya umma unaoongozwa na ukabila.

Ni uharibifu kwa sababu Kampasi kuu ya UDOM pale Dodoma mjini haijafikia kiwango chake cha udahili kama ilivyopangwa, wanafunzi 40,000. Kinakadiriwa kuwa na wanafunzi 25,000 tu. Ina maana miundombinu iliyopo, bado inatumiwa chini ya kiwango. Kwa nini chuo cha aina hiyo kianzishe kampasi nyingine mkoani Njombe?

Njombe ni mkoa mdogo sana ulio karibu na Iringa, na Mbeya na tayari Iringa kuna tawi la Chuo kikuu cha Dar es Salaam na Mbeya kuna chuo kikuu cha MUST! Huu uamuzi ulio na ukabila ndani yake.

VC wa UDOM anatoka mkoa wa Njombe. Ukiilinganisha na mikoa mikongwe isiyokuwa na matawi ya vyuo vikuu vya serikali huu siyo uamuzi wenye sababu. Kwa upande wa bara njombe ndo mkoa wenye idadi ndogo kabisa ya watu, kiasi cha laki 9 tu! Je, kwa idadi hiyo na ukiwa karibu na tawi la UDSM na MUST ya Mbeya, kuna dsababu ya kuwa na tawi la chuo ambacho hakijatimiza malengo ya kampasi kuu yake?

Maoni yangu tawi hilo lingepelekwa Mkoani Lindi au Mtwara ili kupunguza usafiri wa wanafunzi watakaopenda kubaki mikoa ya Kusini. Au lipelekwe KIgoma. Tuache ukabila wa kiasi hiki!
Rubbish. Njombe campus iko Tanzania. Chato Airport iko Tanzania. CHADEMA kwao wana University 5 na Airport 4 mbona hawangizi kwenye tumehuru?
 
Upo sahihi

Halafu hao Wanafunzi elfu kadhaa wanapohitimu mnawapeleka wapi?
 
kwani UDOM wanasoma watu wa Dodoma tu? Njombe kuwa na watu wachache kua uhusiano gani na chuo kutojengwa huko? Njombe hakuna wasomi halafu unasema VC ana toka Njombe unamaanisha nini?

Hata mimi nimejiuliza sana utimamu wa mleta mada. Anasema eti Njombe hakuna wasomi, halafu Vice chancelor ni wa Njombe, katibu mkuu ni wa Njombe, ina maana hizo nafasi wanazoshikilia hao watu wa Njombe ni za watu wasiosoma?

Sijui kama anajua kuwa na vice chancelor wa chuo kikuu kile cha Mbeya, naye ni wa Njombe. Na mhitimu pekee aliyewahi kuwa the best kwa vyuo vikuu 60 vya Engineering nchini India, na mtu pekee kushika hiyo nafasi toka Africa, ni mtu wa Njombe.

Sasa anayesema Njombe hakuna wasomi huenda anaongelea usomi tofauti na usomi unaojulikana katika Ulimwengu huu wa kawaida.
 
Hakuna haja ya kuwa na mavyuo utitiri ambayo hata hayana viwango.njombe imezungumza na vyuo kibao.mkoa wa iringa ina vyuo zaidi ya vitatu haya mbeya nayo ni hivyo hivyo.sasa wafikirie kupeleka vyuo ruvuma na Kigoma au rukwa
Yawezekana hujui. Njombe kwenyewe kuna tawi la chuo kikuu cha Tumaini. Njombe ina jamii inayopenda sana elimu, sawa na ilivyo Kagera, Kilimanjaro, Mbeya na Iringa. Hata bila kuwawekea University hapo hapo Njombe, watasoma kokote ambako vyuo vitakuwepo.

Nakumbuka miaka ya huko nyuma, pale UDSM ilikuwa ni gumzo la kwa nini imekuwa hivyo. Idara ilikuwa na wanafunzi wa kitanzania 11 tu kwa mwaka. Mikoa ilikuwa 24. Ina maana mgawanyo ungekuwa unafuata mikoa, kila mmoja ungekuwa na nusu mwanafunzi. Lakini cha ajabu, mkoa wa Iringa pekee ulikuwa na wanafunzi 3, Kagera 3. Yaani mikoa miwili zaidi ya 50% ya wanafunzi wote.
 
Hata mimi nimejiuliza sana utimamu wa mleta mada. Anasema eti Njombe hakuna wasomi, halafu Vice chancelor ni wa Njombe, katibu mkuu ni wa Njombe, ina maana hizo nafasi wanazoshikilia hao watu wa Njombe ni za watu wasiosoma?

Sijui kama anajua kuwa na vice chancelor wa chuo kikuu kile cha Mbeya, naye ni wa Njombe. Na mhitimu pekee aliyewahi kuwa the best kwa vyuo vikuu 60 vya Engineering nchini India, na mtu pekee kushika hiyo nafasi toka Africa, ni mtu wa Njombe.

Sasa anayesema Njombe hakuna wasomi huenda anaongelea usomi tofauti na usomi unaojulikana katika Ulimwengu huu wa kawaida.
We mbena umetisha leo. Tetea kwenu bana huna kosa
 
Yaani ka-mkoa kenye watu laki 8! Kamkoa kasikokuwa na wasomi! Mwanafunzi atakayekwenda kusoma huko anatafuta kulogwa tu!

Mikoa ya Kigoma, Shinyanga, Lindi na Mtwala inastahili heshima hiyo kwa wingi wa watu. Hope Njombe ni bonge ya ukabila.
VC Kusiluka anatoka Njombe
Katibu mkuu kionmgozi anatoka Njombe
Hapo kuna shida!

btw. Nimedokezwa huo haukuwahi kuwa mpango wa UDOM. Umezushwa na Kusiluika alipohamishiwa hapo, na mradi wa HEET ulianza akiwa ahajahamishiwa hapo. Ina maana amegeuza uelekeo wa pesa za chuo.
Ila Kigoma Pale Mwandiga , Ujiji, Mwali-Nyamnyusi, Katubuka, Kagera, kibirizi, etc Mungu anawaona. Anzeni kuiombea Baraka ardhi ya Kigoma iondokane na Madudu ya huko ziwani. Naamini Mungu atawarehemu mfunguke.
Pale Kasulu kanisa la RC lilitaka lipeleke Patro Centre tawi la Seint John au Seint Augustine lakini kutokana na ktofunguka milango ya Baraka inshaindikana. Pale Chuo cha Ualimu Kasulu ilitakiwa kiwe kimeanza toka mwaka 2014 kutoa Shahada lakini Wapi, Open University Walifungua tawi pale CRDB saizi lakini walifunga, Seint Joseph Walipeleka chuo tawi juu ya NMB Kigoma waliishia kufunga na Wengi wameshindwa.
NB: Wazee wa Kigoma na Maeneo Mengine iombeeni Baraka ardhi zenu kwa ajili ya Watoto na Wajukuu wenu. Na Mungu ni Mwema atawabariki na hizo Fursa za
Kitaaluma wawekezaji wa Kitaaluma Watakuja.
 
Back
Top Bottom