UDOM kuanzisha kampasi Njombe. Kimaadili hii siyo sawa kabisa ktk nchi hii

UDOM kuanzisha kampasi Njombe. Kimaadili hii siyo sawa kabisa ktk nchi hii

Hata mimi nimejiuliza sana utimamu wa mleta mada. Anasema eti Njombe hakuna wasomi, halafu Vice chancelor ni wa Njombe, katibu mkuu ni wa Njombe, ina maana hizo nafasi wanazoshikilia hao watu wa Njombe ni za watu wasiosoma?

Sijui kama anajua kuwa na vice chancelor wa chuo kikuu kile cha Mbeya, naye ni wa Njombe. Na mhitimu pekee aliyewahi kuwa the best kwa vyuo vikuu 60 vya Engineering nchini India, na mtu pekee kushika hiyo nafasi toka Africa, ni mtu wa Njombe.

Sasa anayesema Njombe hakuna wasomi huenda anaongelea usomi tofauti na usomi unaojulikana katika Ulimwengu huu wa kawaida.
Sijaona aliposema Njombe hakuna wasomi! Umena wapi? Rudia kusoma kama mimi niilivyofanya.
Muhimu tuangalie maamuzi kama hayo yana tija gani? Unaona ni sawa Kampasi ya Dodoma bado hawajaweza kuijaza, halafu wanaanzisha nyingine Njombe?

Tusipende kutekeleza mawazo ya mtu. UDOM ililenga kuwa na wanafunzi kadhaa na ikaweka miundombunu kwa kiwango hicho je, wameshaweza? Kwa nini mtu awe ni mtawala wa chuo ambacho hakijatimiza malengo ya awali, yeye anaanzisha malengo mengine?
 
Rubbish. Njombe campus iko Tanzania. Chato Airport iko Tanzania. CHADEMA kwao wana University 5 na Airport 4 mbona hawangizi kwenye tumehuru?
STUPID! Unapewa kuwa VC wa chuo chenye malengo ya wanafunzi 40,000.Hujatimiza malengo, miundombinu ipo haitumiki, unawaza kufungua kampasi nyingine mkoa mwigine. lengo nini? Au wajue homeboy kaleta chuo! Nonsense!
 
Sijaona aliposema Njombe hakuna wasomi! Umena wapi? Rudia kusoma kama mimi niilivyofanya.
Muhimu tuangalie maamuzi kama hayo yana tija gani? Unaona ni sawa Kampasi ya Dodoma bado hawajaweza kuijaza, halafu wanaanzisha nyingine Njombe?

Tusipende kutekeleza mawazo ya mtu. UDOM ililenga kuwa na wanafunzi kadhaa na ikaweka miundombunu kwa kiwango hicho je, wameshaweza? Kwa nini mtu awe ni mtawala wa chuo ambacho hakijatimiza malengo ya awali, yeye anaanzisha malengo mengine?
Wewe na mtoa mada ni wajinga sana.

Sitoi maelezo mengi nakupa mfano mmja tuu harafu utajiongeza.

Unajua baada ya kuanzisha programu ya Elimu Bure Watoto wangapi waliingia standard one na wangapi wanatarajia kumaliza form six?

Jibu la Hilo swali ni Moja ya sababu kibao zilizopo za kwa nini Serikali inaanzisha vyuo Vikuu Mikoa yote.

Mwisho angalia wenzako huku,hii ni just public university za Kilimo Bado vyuo Vikuu vingine na Bado private sector and they keep on building

View: https://twitter.com/StatiSense/status/1734119910064689246?t=0OilcjCqatYbAbtsvNGhcw&s=19

Mna akili fupi kama za kuku.
IFM Chato Campus

View: https://twitter.com/CCMmtandaoni/status/1734961248830136473?t=IHKvgUvoE9OZ9DTi2tEptQ&s=19
 
Acha roho mbaya wewe 😠😠, nenda kajinyonge kama unaumia.
Naamini unaunga mkono kiukabila. HUwezi kuona mtu anapoteza pesa za chuo bila sababu. Sababu ya kampasi mpya ni nini? UDOM imefikia kiwango chake cha udahili?

Mtu hajafikisha mal;engo ya chuo anachokiongoza, anaanzisha kampasi mpya. Yaani kila sehemu kuwe na majengo yasiyo na wanafunzi! Rubbish professor!
 
Wewe na mtoa mada ni wajinga sana.

Sitoi maelezo mengi nakupa mfano mmja tuu harafu utajiongeza.

Unajua baada ya kuanzisha programu ya Elimu Bure Watoto wangapi waliingia standard one na wangapi wanatarajia kumaliza form six?

Jibu la Hilo swali ni Moja ya sababu kibao zilizopo za kwa nini Serikali inaanzisha vyuo Vikuu Mikoa yote.

Mwisho angalia wenzako huku,hii ni just public university za Kilimo Bado vyuo Vikuu vingine na Bado private sector and they keep on building

View: https://twitter.com/StatiSense/status/1734119910064689246?t=0OilcjCqatYbAbtsvNGhcw&s=19

Mna akili fupi kama za kuku.
IFM Chato Campus

View: https://twitter.com/CCMmtandaoni/status/1734961248830136473?t=IHKvgUvoE9OZ9DTi2tEptQ&s=19

Another rubbish! Umeulizwa nini malengo yake kuanzisha kampasi mpya wakati ana majengo ambayo hayana wanafunzi? Wewe unaishia kusimulia hadithi za mtandaoni na kusema wenzetu. Nigeria ni wenzako? Wenzako ya nyoko!

Unahesabu idadi ya vyuo vya Nigeria unasema ni wenzako. Mwambieni aache ukabila wa nyumbani! Tunataka uongozi wa chuyo siyo sifa ya kisiasa. Kama anataka ubunge mwakani, umri haufai, he is a deadwood!
 
Umejaza mavi kichwani.Soma maelezo kwenye comment utapata majibu ya swali lako la kipumbavu
 
Umejaza mavi kichwani.Soma maelezo kwenye comment utapata majibu ya swali lako la kipumbavu
Hapa ni ufahamu, hatuhitaji hasira na matusi. Kama ni Kusiluka, nakupa pole! Bado hujakomaa. Majibu ni kitu gani? Unamaanisha 'majawabu'? Hata lugha yetu haipandi, nawe unawaza ukafundishe Njombe University?
 
Ni uharibifu kwa sababu Kampasi kuu ya UDOM pale Dodoma mjini haijafikia kiwango chake cha udahili kama ilivyopangwa, wanafunzi 40,000. Kinakadiriwa kuwa na wanafunzi 25,000 tu. Ina maana miundombinu iliyopo, bado inatumiwa chini ya kiwango. Kwa nini chuo cha aina hiyo kianzishe kampasi nyingine mkoani Njombe?
Kama wameshindwa kutokomeza kunguni wataweza kusimamia chuo kipya?
 
Nakusaiidia .Fikiria Udom imejaa Dodoma kutokana kuongeze Kwa wa.Has a tumefika Idadi ya watu million 80+ je udom itatosha.

Pia ni fursa kiuchumi Mkoa husika inaitwa WIN WIN

Jikite hapa Kwa kina ikibid Google utaelewa vizuri

Mipango ya muda mrefu

Mipango ya muda mfupi

Mipango ya muda Wa kati
 
Ungesema huoni sababu ya kuanzishwa kwa chuo kikuu kishiriki cha Dodoma wakati makao makuu yanajitosheleza na Bado yanahitaji wanafunzi, hii ya kuweka mikoa mingine na sababu za ukabila zimeharibu hoja yako.
 
Hakuna sababu ya kutoiona akili ya mtu kwa kisingizio cha kuharibu mambo. Hiyo ndo sura ya ukabila. Wengi hapa wanaotetea ni kwa sababu wanaamini kwao, Njombe, panapendeza. Sisi tunaofahamu mawazo ya muhusika lazima tuseme. Ni UKabila unamsumbua tu!
 
Haya mambo sasa tuseme yanafanyika kiushabiki na pia kiukabila. Nimeona mitandaoni eti UDOM wanaanzisha kampasi mpya mkoa wa Njombe. Hii ni uharibifu wa pesa ya umma unaoongozwa na ukabila.

Ni uharibifu kwa sababu Kampasi kuu ya UDOM pale Dodoma mjini haijafikia kiwango chake cha udahili kama ilivyopangwa, wanafunzi 40,000. Kinakadiriwa kuwa na wanafunzi 25,000 tu. Ina maana miundombinu iliyopo, bado inatumiwa chini ya kiwango. Kwa nini chuo cha aina hiyo kianzishe kampasi nyingine mkoani Njombe?

Njombe ni mkoa mdogo sana ulio karibu na Iringa, na Mbeya na tayari Iringa kuna tawi la Chuo kikuu cha Dar es Salaam na Mbeya kuna chuo kikuu cha MUST! Huu uamuzi ulio na ukabila ndani yake.

VC wa UDOM anatoka mkoa wa Njombe. Ukiilinganisha na mikoa mikongwe isiyokuwa na matawi ya vyuo vikuu vya serikali huu siyo uamuzi wenye sababu. Kwa upande wa bara njombe ndo mkoa wenye idadi ndogo kabisa ya watu, kiasi cha laki 9 tu! Je, kwa idadi hiyo na ukiwa karibu na tawi la UDSM na MUST ya Mbeya, kuna dsababu ya kuwa na tawi la chuo ambacho hakijatimiza malengo ya kampasi kuu yake?

Maoni yangu tawi hilo lingepelekwa Mkoani Lindi au Mtwara ili kupunguza usafiri wa wanafunzi watakaopenda kubaki mikoa ya Kusini. Au lipelekwe KIgoma. Tuache ukabila wa kiasi hiki!

sasa we bwege kwann dodoma imefanya kitu gan kuwa n vyuo vyote hivo,,,
au iringa,mbeya,moro,dar, mbona unapwayuka

Kupeleka chuo si kwa sababu ya idadi ya watu ni njia moja wapo ya kubust maendeleo au jamii ambazo hazipendi elimu

Naunga mkono uamuzi huo mikoa ya njombe ,ruvuma imesahaulika sana
 
Haya mambo sasa tuseme yanafanyika kiushabiki na pia kiukabila. Nimeona mitandaoni eti UDOM wanaanzisha kampasi mpya mkoa wa Njombe. Hii ni uharibifu wa pesa ya umma unaoongozwa na ukabila.

Ni uharibifu kwa sababu Kampasi kuu ya UDOM pale Dodoma mjini haijafikia kiwango chake cha udahili kama ilivyopangwa, wanafunzi 40,000. Kinakadiriwa kuwa na wanafunzi 25,000 tu. Ina maana miundombinu iliyopo, bado inatumiwa chini ya kiwango. Kwa nini chuo cha aina hiyo kianzishe kampasi nyingine mkoani Njombe?

Njombe ni mkoa mdogo sana ulio karibu na Iringa, na Mbeya na tayari Iringa kuna tawi la Chuo kikuu cha Dar es Salaam na Mbeya kuna chuo kikuu cha MUST! Huu uamuzi ulio na ukabila ndani yake.

VC wa UDOM anatoka mkoa wa Njombe. Ukiilinganisha na mikoa mikongwe isiyokuwa na matawi ya vyuo vikuu vya serikali huu siyo uamuzi wenye sababu. Kwa upande wa bara njombe ndo mkoa wenye idadi ndogo kabisa ya watu, kiasi cha laki 9 tu! Je, kwa idadi hiyo na ukiwa karibu na tawi la UDSM na MUST ya Mbeya, kuna dsababu ya kuwa na tawi la chuo ambacho hakijatimiza malengo ya kampasi kuu yake?

Maoni yangu tawi hilo lingepelekwa Mkoani Lindi au Mtwara ili kupunguza usafiri wa wanafunzi watakaopenda kubaki mikoa ya Kusini. Au lipelekwe KIgoma. Tuache ukabila wa kiasi hiki!

Sasa hapo kwene elimu ukabila unaingiaje??

Yaan kujenga hoja huwezi kabisa
Je watakaosoma n kabila gan
kuna chuo kinadahili watu kutokana na kabila ??
Jamani watanzania wa hivi ni mzigo sana kwenye hii nchi!!

Hata kama kitajengwa mkoa ambao hau chuo ni sawa!!
Njombe hamna chuo chochote kinachoeleweka wana haki sana!
Hasa ukiangalia mchango wao katika uchumi ilibidi kijengwe chuo tena siyo campus
 
Unaweza kuwa umeongea ukweli lakini ni kitu gani kinachokusukuma kusema huo ni ukabila na si wewe mwenye element za ukabila?

Yeye ndo anaelement za ukabila kupeleka maendeleo nayo anaona ni ukabila utafikiri chuo kinachagua kulingana na kabila badala ya ufaulu
 
Licha ya Hilo mkuu njombe kuna ukimwi San watoto wetu wataambukizwa magonjwa ya zianaa ikiwa watarundikana njombe mji

Udom inatosha kwa hapa dodoma

Dr ?? ulifauluje ww mbona uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana
ukimwi unaambukizwa na mazingira???
Au unaambukizwa na chuo kuwepo sehemu fulani?

Nachojua mm ni kufanya unprotected sex,blood transfusion nk

Pumbafu wewe dakitari vyeti feki[mention]dr namugari [/mention]
 
Siupingi ushauri wako ila nataka nikusahihishe kidogo.

Idadi ya watu waliohesabiwa wakati wa sensa, kiuhalisia hakuna uhusiano na idadi ya wanafunzi wanaodahiliwa vyuo vikuu. Miaka ya 1990, wakati wa utawala wa Mwinyi, chuo kikuu kilifungwa kwa sababu ya mgomo wa wanachuo. Wanachuo wote waliamriwa kila mmoja kuripoti mkoani kwake, akianzia kwenye Serikali ya kijiji na kisha wilayani.

Mwisho wa zoezi lile zilitolewa takwimu za wanachuo wote kwa kadiri walivyoripoti vijijini, wilayani na mikoani kwao.

Matokeo yake yalikuwa:

1) Mkoa uliokuwa na wanachuo wengi UDSM kuliko mkoa wowote, ni Kagera.

2) Wa pili ulikuwa ni mkoa wa Kilimanjaro

3) Wa tatu ulikuwa Mbeya.

4) Wa nne ulikuwa mkoa wa Iringa

Dar es Salaam yenye idadi kubwa maradufu kuliko mikoa yote, haukuwemo hata katika ile mikoa 5 yenye wanachuo wengi UDSM.

Njombe inaweza kuwa na idadi ndogo ya wakazi waliohesabiwa wakiwa Njombe. Lakini wakawepo wengi waliohesabiwa wakiwa maeneo mbalimbali ya nchi. Huo mkoa, wakazi wake ni watafutaji sana wa fursa. Popote penye fursa watakuwepo. Hiyo ni kuanzia kwenye fursa za Elimu mpaka fursa za kiuchumi.

Ukienda israel ukawahesabie Wayahudi, hawafiki hata 6m. Lakini Waisrael wanaoishi nje ya Israel, ni zaidi ya 19m. Ukiwatazama waisrael waliopo Israel tu, utasema Israel ni nchi yenye watu wachache sana.

Njombe kuna tawi pia la chuo kikuu cha Tumaini. Sijui kama na wao wamefuata ukabila!

Mimi nadhani, vyuo, ni kama mabenki, utashangaa mabenki karibia yote yapo Kahama na siyo Shinyanga au Tabora. Mabenki hufanya utafiti wake wa ndani ili kujua mahali penye pesa. Kuna maeneo watu wana mwamko zaidi wa elimu, kuna maeneo watu wana mwamko zaidi wa biashara, uvuvi, ufugaji kuliko masuala ya Elimu. Ukipeleka huko shule yako utaishia kukaa na majengo yako bila wanafunzi.

Kabla ya shule za kata, mkoa wa Iringa ndio uliokuwa unaongoza kwa idadi ya sekondari za Serikali kuliko mkoa mwingine wowote. Je, ilikuwa ni ukabila? Niliwahi kuambiwa na afisa mmoja wa Serikali kuwa kilichosaidia Iringa kuwa na shule nyingi ilikuwa ni pamoja na hali nzuri ya hewa inayotengeneza mazingira mazuri ya kusoma. Akidai kuwa miongoni mwa maeneo mabaya ya kusomea ni Dar ambayo ina joto kali na humidity kubwa inayosababisha wanafunzi kuwa wachovu wakati wote.

Nadhani ni vema kujenga hoja ya kupinga au kukubali bila ya kujenga fikra za ukabila, ambazo kimsingi haupo. Ukiacha kabila la wasukuma ambalo ni kubwa, Tanzania ina vikabila vidogo vidogo sana kiasi cha kuwa na mchango mdogo katika kufanikisha takwa la mtu anayetaka kutumia ukabila.

Asante kwa kumuelimisha huyu mchunguzi ushuzi wa hapa tz [mention]MchunguZI [/mention] akili ziko matakoni muda wote
 
Back
Top Bottom