UDOM kuanzisha kampasi Njombe. Kimaadili hii siyo sawa kabisa ktk nchi hii

Haya mambo sasa tuseme yanafanyika kiushabiki na pia kiukabila. Nimeona mitandaoni eti UDOM wanaanzisha kampasi mpya mkoa wa Njombe. Hii ni uharibifu wa pesa ya umma unaoongozwa na ukabila.

Ni uharibifu kwa sababu Kampasi kuu ya UDOM pale Dodoma mjini haijafikia kiwango chake cha udahili kama ilivyopangwa, wanafunzi 40,000. Kinakadiriwa kuwa na wanafunzi 25,000 tu. Ina maana miundombinu iliyopo, bado inatumiwa chini ya kiwango. Kwa nini chuo cha aina hiyo kianzishe kampasi nyingine mkoani Njombe?

Njombe ni mkoa mdogo sana ulio karibu na Iringa, na Mbeya na tayari Iringa kuna tawi la Chuo kikuu cha Dar es Salaam na Mbeya kuna chuo kikuu cha MUST! Huu uamuzi ulio na ukabila ndani yake.

VC wa UDOM anatoka mkoa wa Njombe. Ukiilinganisha na mikoa mikongwe isiyokuwa na matawi ya vyuo vikuu vya serikali huu siyo uamuzi wenye sababu. Kwa upande wa bara njombe ndo mkoa wenye idadi ndogo kabisa ya watu, kiasi cha laki 9 tu! Je, kwa idadi hiyo na ukiwa karibu na tawi la UDSM na MUST ya Mbeya, kuna dsababu ya kuwa na tawi la chuo ambacho hakijatimiza malengo ya kampasi kuu yake?

Maoni yangu tawi hilo lingepelekwa Mkoani Lindi au Mtwara ili kupunguza usafiri wa wanafunzi watakaopenda kubaki mikoa ya Kusini. Au lipelekwe KIgoma. Tuache ukabila wa kiasi hiki!
Kwaiyo ulikuwa unashauri kikanzishwe wapi?
 
Acha ujinga na upunguani.Uliambiwa hicho kiwango Chake kinatakiwa kufikiwa overnight?

Harafu unatakiwa kuelewa kwamba chini ya program ya HEET, Serikali inaenda kuanzisha vyuo Vikuu au matawi kwenye Mikoa yote ambayo Haina Vyuo Vikuu so sio swala la sijui Njombe Iko karibu na Mkoa upi,that is rubbish argument.

Lengo ki kupanua WiGo wa taaluma Kwa Wananchi.Tqnzania inazidiwa na Nchi zingine zote Wanachama wa EAC kwenye udahili isipokuwa Burundi.

Mwisho Kwa Mamilioni ya Watoto walioanza na Elimu Bure tukisalia stagnant hivyo vyuo unavyosema vina nafasi havitatosha kabisa watakapofika Form 6,na ndio maana hiyo program imekuja.

Acha wivu wa kisengerema
 
Yaani ka-mkoa kenye watu laki 8! Kamkoa kasikokuwa na wasomi! Mwanafunzi atakayekwenda kusoma huko anatafuta kulogwa tu!

Mikoa ya Kigoma, Shinyanga, Lindi na Mtwala inastahili heshima hiyo kwa wingi wa watu. Hope Njombe ni bonge ya ukabila.
VC Kusiluka anatoka Njombe
Katibu mkuu kionmgozi anatoka Njombe
Hapo kuna shida!

btw. Nimedokezwa huo haukuwahi kuwa mpango wa UDOM. Umezushwa na Kusiluika alipohamishiwa hapo, na mradi wa HEET ulianza akiwa ahajahamishiwa hapo. Ina maana amegeuza uelekeo wa pesa za chuo.
Pumba zingine hizi hapa 😁😁
 
Kwa nini wanapeleka matawi ya vyuo vingine mikoa mingine badala ya kuanzisha vyuo vinavyojitegema kabisa?
Ndio Mwanzo wa vyuo kijitegemea.

Kwa Ukubwa wa Nchi hii,Kasi ya Ongezeko la watu ilitakiwa Kila Wilaya iwe na Chuo Kikuu.

Nigeria ambayo Huwa mnasema Ina vyuo Vikuu vingi,ndio kwanza wanajenga vingine zaidi harafu anatokea nyumbu mmja anapinga tena kwenye Nchi iliyojaa wajinga Kama hii.
 
Basi, tunajua kuongeza vyuo tu !!!!!,
Hebu sasa vyuo vimetosha , hivyo hivyi vilivyopo, viimarishwe,

Tuangazie sasa viwanda vitakavyo ajili hawa waliopo,

Watoto wanamakiza vyuo kwa maelfu hawana cha kufanya.

Uwezo wenu umekuwa ni kujenga majengo na kuweka vitabu tu,

Hatuangalii upande wa pili.

Hao maprofer hawana cha kusaidia ili nchi ifanye mambo yake yenyewe?

Wahandisi wanamaliza vyuo lakini makampuni yote ya ujenzi wa maana yanatoka nje , sisi tunakuwa vibarua tu na kujenga nyumba tunazoita vyuo.

Vyuo sasa tuwaachie watu binafsi, kwa serkali basi inatosha.
Mawazo ya wajinga.Tanzania ina vyuo vichache kuliko hata Uganda ambayo ni inaingia mara 4 Kwa Tzn.
 
Kwani
Pumbafu sana wewe!
Mkoa wenye watu laki tatu ni sahihi kupeleka Chuo kikuu?
Kama sio elements za ukabila ni kitu gani?
Watu wangapi wanahitajika eneo fulani Ili lipate hadhi ya kupewa chuo?
 
Ndio Mwanzo wa vyuo kijitegemea.

Kwa Ukubwa wa Nchi hii,Kasi ya Ongezeko la watu ilitakiwa Kila Wilaya iwe na Chuo Kikuu.

Nigeria ambayo Huwa mnasema Ina vyuo Vikuu vingi,ndio kwanza wanajenga vingine zaidi harafu anatokea nyumbu mmja anapinga tena kwenye Nchi iliyojaa wajinga Kama hii.
Iringa tayari kuna chuo kikuu na Mbeya vipo vyuo vikuu. Sasa hivi wangepeleka vyuo vikuu Lindi, Mtwara, Ruvuma, Kigoma Kagera, Tabora.
 
Haya mambo sasa tuseme yanafanyika kiushabiki na pia kiukabila. Nimeona mitandaoni eti UDOM wanaanzisha kampasi mpya mkoa wa Njombe. Hii ni uharibifu wa pesa ya umma unaoongozwa na ukabila.

Ni uharibifu kwa sababu Kampasi kuu ya UDOM pale Dodoma mjini haijafikia kiwango chake cha udahili kama ilivyopangwa, wanafunzi 40,000. Kinakadiriwa kuwa na wanafunzi 25,000 tu. Ina maana miundombinu iliyopo, bado inatumiwa chini ya kiwango. Kwa nini chuo cha aina hiyo kianzishe kampasi nyingine mkoani Njombe?

Njombe ni mkoa mdogo sana ulio karibu na Iringa, na Mbeya na tayari Iringa kuna tawi la Chuo kikuu cha Dar es Salaam na Mbeya kuna chuo kikuu cha MUST! Huu uamuzi ulio na ukabila ndani yake.

VC wa UDOM anatoka mkoa wa Njombe. Ukiilinganisha na mikoa mikongwe isiyokuwa na matawi ya vyuo vikuu vya serikali huu siyo uamuzi wenye sababu. Kwa upande wa bara njombe ndo mkoa wenye idadi ndogo kabisa ya watu, kiasi cha laki 9 tu! Je, kwa idadi hiyo na ukiwa karibu na tawi la UDSM na MUST ya Mbeya, kuna dsababu ya kuwa na tawi la chuo ambacho hakijatimiza malengo ya kampasi kuu yake?

Maoni yangu tawi hilo lingepelekwa Mkoani Lindi au Mtwara ili kupunguza usafiri wa wanafunzi watakaopenda kubaki mikoa ya Kusini. Au lipelekwe KIgoma. Tuache ukabila wa kiasi hiki!
Mimi chawa wa Mama mkono hoja. Tena natamani ningehusishwa kwenye huo mpango ili niwashauri. Njombe ni mkoa unaounganisha mikoa mingi huo ukanda
 
Lindi na mtwara zimetelekezwa sijui kama ni tanzania .

Hiyo mtwara kama sio kuwa na zao la korosho isingejulikana kabisa hapa nchini.!
 
mtoa mada una hisia za kikabila...

tukifata hoja yako mkoa wa Mwanza ungekuwa wa pili kwa vyuo vikuu nchi hii

yaani sehemu kusiwe na chuo kikuu kwasababu kuna idadi ndogo ya watu?

Lol!
 
Haya mambo sasa tuseme yanafanyika kiushabiki na pia kiukabila. Nimeona mitandaoni eti UDOM wanaanzisha kampasi mpya mkoa wa Njombe. Hii ni uharibifu wa pesa ya umma unaoongozwa na ukabila.

Ni uharibifu kwa sababu Kampasi kuu ya UDOM pale Dodoma mjini haijafikia kiwango chake cha udahili kama ilivyopangwa, wanafunzi 40,000. Kinakadiriwa kuwa na wanafunzi 25,000 tu. Ina maana miundombinu iliyopo, bado inatumiwa chini ya kiwango. Kwa nini chuo cha aina hiyo kianzishe kampasi nyingine mkoani Njombe?

Njombe ni mkoa mdogo sana ulio karibu na Iringa, na Mbeya na tayari Iringa kuna tawi la Chuo kikuu cha Dar es Salaam na Mbeya kuna chuo kikuu cha MUST! Huu uamuzi ulio na ukabila ndani yake.

VC wa UDOM anatoka mkoa wa Njombe. Ukiilinganisha na mikoa mikongwe isiyokuwa na matawi ya vyuo vikuu vya serikali huu siyo uamuzi wenye sababu. Kwa upande wa bara njombe ndo mkoa wenye idadi ndogo kabisa ya watu, kiasi cha laki 9 tu! Je, kwa idadi hiyo na ukiwa karibu na tawi la UDSM na MUST ya Mbeya, kuna dsababu ya kuwa na tawi la chuo ambacho hakijatimiza malengo ya kampasi kuu yake?

Maoni yangu tawi hilo lingepelekwa Mkoani Lindi au Mtwara ili kupunguza usafiri wa wanafunzi watakaopenda kubaki mikoa ya Kusini. Au lipelekwe KIgoma. Tuache ukabila wa kiasi hiki!

Tuache kuviingiza vyuo vyetu vikuu kwenye gharaama kubwa za uendeshaji …kila mkubwa anataka chuo kikuu jimboni kwake kama vile hizo ni High School …..Pinda mfano alijenga shule kwao ikakosa wateja akaamua kuwapa SUA wafungue campus ….
Kama sehemu kuna haja ya kuwa na campus huhitaji kutumia nguvu watajenga tu
 
Haya mambo sasa tuseme yanafanyika kiushabiki na pia kiukabila. Nimeona mitandaoni eti UDOM wanaanzisha kampasi mpya mkoa wa Njombe. Hii ni uharibifu wa pesa ya umma unaoongozwa na ukabila.

Ni uharibifu kwa sababu Kampasi kuu ya UDOM pale Dodoma mjini haijafikia kiwango chake cha udahili kama ilivyopangwa, wanafunzi 40,000. Kinakadiriwa kuwa na wanafunzi 25,000 tu. Ina maana miundombinu iliyopo, bado inatumiwa chini ya kiwango. Kwa nini chuo cha aina hiyo kianzishe kampasi nyingine mkoani Njombe?

Njombe ni mkoa mdogo sana ulio karibu na Iringa, na Mbeya na tayari Iringa kuna tawi la Chuo kikuu cha Dar es Salaam na Mbeya kuna chuo kikuu cha MUST! Huu uamuzi ulio na ukabila ndani yake.

VC wa UDOM anatoka mkoa wa Njombe. Ukiilinganisha na mikoa mikongwe isiyokuwa na matawi ya vyuo vikuu vya serikali huu siyo uamuzi wenye sababu. Kwa upande wa bara njombe ndo mkoa wenye idadi ndogo kabisa ya watu, kiasi cha laki 9 tu! Je, kwa idadi hiyo na ukiwa karibu na tawi la UDSM na MUST ya Mbeya, kuna dsababu ya kuwa na tawi la chuo ambacho hakijatimiza malengo ya kampasi kuu yake?

Maoni yangu tawi hilo lingepelekwa Mkoani Lindi au Mtwara ili kupunguza usafiri wa wanafunzi watakaopenda kubaki mikoa ya Kusini. Au lipelekwe KIgoma. Tuache ukabila wa kiasi hiki!
Hiyo main campus haina walimu, kuna takataka tupu compring them with professors at MIT
 
Wanafunzi wengi waliopo UDOM wanatokea Kanda ya Ziwa. Kwa miaka miwili niliyokaa pale, nilikuwa nawahoji wanafunzi wakati nikienda kula. Wengi wao wanatoka mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Simiyu, na Shinyanga. Kundi lingine kubwa linalofuata wanatoka mikoa inayozunguka Dodoma ya Iringa, Morogoro, Singida, na Manyara.

Hapa nilitaka kusema, kwa nini tawi la UDOM lisifunguliwe kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa ambapo ndiyo kuna soko kubwa la wanafunzi wa UDOM? Kanda ya Ziwa haina vyuo vingi. Ukiacha St Augustino, na kile cha Musoma, vyuo vingine ni matawi tu.

Ikitokea siku moja private sector wakaongeza chuo kingine Kanda ya ziwa, soko la UDOM lita shake sana!

Wafungue tawi Kanda ya Ziwa watakuja kuishukuru baadae!
 
Halafu sera ya nchi ni kujikita katika vyuo vya kati....Sasa huyu wa UDOM Yuko nchi gani?
 
Kwa akili hizi nchi kusogea ni changamoto. Yaani kwa sababu ni Mtanzania aliyezaliwa Njombe basi sehemu anayofanya kazi hauruhusiwi kuwa na mashirikiano na mkoa aliozalowa Mkuu wasehemu hiyo!!!! Shida sana ninyi watu!
Validity ya kupeleka Hilo Tawi njombe NI IPI?tujadili hoja.kwni njombe na Dodoma kuna umbali gani?si wangefikiria kupeleka Hilo Tawi Mara.
 
Iringa tayari kuna chuo kikuu na Mbeya vipo vyuo vikuu. Sasa hivi wangepeleka vyuo vikuu Lindi, Mtwara, Ruvuma, Kigoma Kagera, Tabora.
Aliyekwambia huko hawapeleki nani?

Nimekwambia na mwenzako Kila Mkoa unaenda kupata tawi la Chuo Kikuu.

Lindi Kuna Tawi la Udsm linajengwa na Chuo independent Cha Mafuta na Gas

Mtwara tayari Kuna Tawi la Chuo Kikuu Kitambo tuu eg Saut na Bodi ya Mikopo Ina ofisi ya Kanda huko.

Ruvuma wanajenga tawi la Chuo Cha TIA na Chuo Kikuu kipya Cha Songea.

Kigoma wanajenga tawi la Chuo Kikuu Cha Muhimbili na TIA plus Upanuzi wa Chuo Cha Hali ya hewa Tanzania.

Kagera kunajengwa tawi la Udsm na Mzumbe lakini Kuna Chuo Kikuu kipo hapo siku nyingi tuu.

Tabora kuna Tawi la Chuo Kikuu Cha Saut,wanajenga Chuo maalumu Cha mambo ya reli na pia Kuna Chuo Cha Ardhi.

Mikoa yote kunajengwa vyuo Vikuu kuanzia Simiyu,Songwe,Rukwa ,Njombe , Shinyanga na Singida.Kiufupi Mikoa yote 14 ambayo haikuwa na vyuo Vikuu vinajengwa Sasa hivi.

View: https://twitter.com/TZWaziriMkuu/status/1730300704797884903?t=HYdx6TRJRAkD6XNvynuFDw&s=19

Usifanye mzaha na Samia,kila sekta anaitendea Haki.
 
Back
Top Bottom