UDOM na PhD kwa wanasiasa. Nini chanzo cha mchezo huu katika elimu ya nchi hii?

Jaffo alikuwa na degree ya kwanza ya mapishi sasa hii ya sasa hivi sijui ni PHD ya Mazingira.
Swala LA Elimu limekuwa rahisi sana kwa Tanzania.
 
Tangu Watanzania mruhusu PhD fake kuongoza nchi kibali kilitolewa kwa watu kuzitafuta zinakopatikana.
 
Hata muhas..hakuna huu upuuzi..ila vyuo vya vilaza udsm na udom njaa tupu.

#MaendeleoHayanaChama
Muhas nani aende shule serious kiasi hicho, au aende SUA, shule haitaki mbwembwe, zamani walikuwa wanaendaga Open university Sasa hivi wanakimbilia Udom, kwenye mtelezo wa Ganda la ndizi.
 
Hafu ma Prof, na Dr utendaji wao huwa duni kuliko wenye bachelor zao, hao wanatakiwa wabaki chuoni, huku kwingine wanachemsha vibaya, ona jinsi Magu aliwateua wengi na hamna walichokifanya Cha maana
 

Mwandosy alikuwa mwenyekiti wa bodi ya chuo Mwalimu Nyerere memory academy kama sikosei akakosana na mwendazake akafurushwa kwa spidi ya wahuni.
Hahahah,
Hawa wahuni hawa. Sio watu hata kidogo
 
Ok. Haya uliyoandika ungetuwekea docs tuamini. Kusoma ni kugumu yes kama hujaamua kusoma ila kusoma ni raha sana kama una lengo la kuwa msomi.
 
Prof anataka apewe muongozo
 


Hivi PHD wanafanya research ni hao hao professors huwezi kuwa waziri halafu ukapata muda wa kufanya reseach bila hata likizo! PHD kwa wastani wanasoma vitabu 90 kupata reference tu!. Ukiangalia vizuri hizi research ni za professors. Ndiyo maana wanalipa kwa kuwapa kazi hasa za board member wa makampuni ya serikali
 
Mto mada una mwono mdogo sana wa mambo. Ukitaka kujua phd. Nyingi za wanasiasa zimetoka chuo gani tafuta takwimu uje nazo. Nafikiri jalala university itaongoza.
 
PhD mtu anafanya kutokana na background yake. Sasa unataka mtu aliyesoma uchumi akatafute phd ya dawa za mifugo? Unaelewa kweli ulichoandika?
 
Pesa ni kila kitu bwashee
 
Haya mambo yote aliyesababisha in Magufuli-alifanya kila kitu kuwa simple alianza kwa kuwadharau Maprofesa na Madokta hatimaye nao wakajidharau.
 
PhD mtu anafanya kutokana na background yake. Sasa unataka mtu aliyesoma uchumi akatafute phd ya dawa za mifugo? Unaelewa kweli ulichoandika?
... wanasiasa wenye background za PhD ni wa vyuo vingine isipokua SUA, MUHAS, na AU au sio?
 
Je aliyekuwa Rais wa DRC Congo ndg Joseph kabila nae kugraduate PhD mwaka huu nafikiri. Kama sikosei ni nchini Ufaransa . Ila naweza kuamini JPM alikuepo na PhD halali historia ya JPM ni mchapakazi asiyelala Usiku labda hawa wanasiasa wengine naamini aliweza kutenga mda wa kuisoma PhD yake. Katika historia na mawaziri Kichwa cha JPM kinaonekana kipo vizuri kwenye takwimu kwote alikokokuwa waziri kuanzia barabara , ardhi na mifugo. Ila pia kipindi cha JPM aliwaamini Sana wasomi katika utendaji kazi ndio maana wanasiasa wengi walijiunga kusoma ili wasikose teuzi za JPM. kumbuka sio hawa tuu S S Jafo , L M Nchema, Doto Biteko Pia akina aweso wamegraduate Masters wakiwa mawaziri lakini pia wakuu wa wilaya kibao wapo na masters mfano zainabu abdala. Mimi nikukumbuka jinsi nilivyoisotea MSc yangu napata wasiwasi na hawa wanasiasa wamepataje mda wa kuzisoma hizo master s na PhD zao
 
Nchi hii kila kitu SIASA HATA HUYU ANA PHD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…