Udom: Tabia ya kuwaongezea coursework wanafunzi waliofeli inakatisha tamaa

Acha uwongo mkuu udom tuilaum kwa mambo mengine lakini kwa hili nakupinga, naijua vizuri udom zaid ya unavyoijua, ilo halipo, mwaka jana third year kulikuwa na disco zaid ya 106 sapu ndo usisema na hakukuwa na msamaha
 
Nakumbuka kile ni chuo cha serikali hawana hasara ukidisco, wapo tayari wabaki na mwanafunzi mmoja, sababu hawategemei ada yako kama private kulipa watumishi, wao mishahara inatoka hazina so hawana hasara ata ukidisco kanakwamba watakosa pesa kama private
 

Mwambie huyo mjinga, anafikiri udom kuna kubembelezana.
 
kama ni kweli i real feel pity 4 u,linatengenezwa bomu
 
Kwa wote manoendelea kufuatilia uzi huu, mpaka sasa mtoa mada ameshindwa kuleta ushahidi wa madai yake.

Natoa nafas kwa mwingine yeyote mwenye ushahidi juu ya kilichoelezwa na mleta mada aweke hapa tujadili

Bidup sana mkuu umenifurahisha sana kwa kuleta fact mezani mm nimegraduate hapo mwaka jana huku offisini tulipo tunaogopwa kwa mgeuzi makubwa tunayoleta mm nmshangaa huyo kilaza ambaye anatuchafua na propaganda ambozo hazina facts ALWAYS I LV UDOM
 
Bidup sana mkuu umenifurahisha sana kwa kuleta fact mezani mm nimegraduate hapo mwaka jana huku offisini tulipo tunaogopwa kwa mgeuzi makubwa tunayoleta mm nmshangaa huyo kilaza ambaye anatuchafua na propaganda ambozo hazina facts ALWAYS I LV UDOM

Pamoja sana mkuu
 
 
 
Mi nipo UDOM kwa sasa,na ukweli hakuna kitu kama hicho na watu wa disco kama kawaida.Huenda huyu jamaa ni mjasi wa ng'ong'ona hajui lolote na wala si mwanachuo na kama mwanachuo basi ni kilaza na ndio maana kafeli UDSM.Unafel vipi ud kwa mfano halafu uje utegemee kufaulu udom tena labd education au info.
 

niko udsm mwaka wa pili,sijawahi ona upumbavu kama huo hapa chuo,udom naichukia balaa
 
niko udsm mwaka wa pili,sijawahi ona upumbavu kama huo hapa chuo,udom naichukia balaa

Afadhali wewe umesema una chuki bunafsi na udom, siwezi kubishana na wewe.

Ila narudia tena udom hakuna huo upuuzi na ushahidi nimeweka hapa mara kadhaa.

Huyo mleta mada nimemwambia mara nyingi hapa aweke ushahidi athibitishe madai yake ameshindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…