Udom: Tabia ya kuwaongezea coursework wanafunzi waliofeli inakatisha tamaa

Udom: Tabia ya kuwaongezea coursework wanafunzi waliofeli inakatisha tamaa

Acha uwongo mkuu udom tuilaum kwa mambo mengine lakini kwa hili nakupinga, naijua vizuri udom zaid ya unavyoijua, ilo halipo, mwaka jana third year kulikuwa na disco zaid ya 106 sapu ndo usisema na hakukuwa na msamaha
 
Nakumbuka kile ni chuo cha serikali hawana hasara ukidisco, wapo tayari wabaki na mwanafunzi mmoja, sababu hawategemei ada yako kama private kulipa watumishi, wao mishahara inatoka hazina so hawana hasara ata ukidisco kanakwamba watakosa pesa kama private
 
Nakumbuka kile ni chuo cha serikali hawana hasara ukidisco, wapo tayari wabaki na mwanafunzi mmoja, sababu hawategemei ada yako kama private kulipa watumishi, wao mishahara inatoka hazina so hawana hasara ata ukidisco kanakwamba watakosa pesa kama private

Mwambie huyo mjinga, anafikiri udom kuna kubembelezana.
 
kama ni kweli i real feel pity 4 u,linatengenezwa bomu
 
Kwa wote manoendelea kufuatilia uzi huu, mpaka sasa mtoa mada ameshindwa kuleta ushahidi wa madai yake.

Natoa nafas kwa mwingine yeyote mwenye ushahidi juu ya kilichoelezwa na mleta mada aweke hapa tujadili

Bidup sana mkuu umenifurahisha sana kwa kuleta fact mezani mm nimegraduate hapo mwaka jana huku offisini tulipo tunaogopwa kwa mgeuzi makubwa tunayoleta mm nmshangaa huyo kilaza ambaye anatuchafua na propaganda ambozo hazina facts ALWAYS I LV UDOM
 
mkuu upo UDOM? Nipe ukweli wa mambo

Nipo udom mkuu na hakuna kitu kama hicho.

Baadhi ya matokeo haya hapa chini, angalia vizuri kuna waliofeli na waliopass na kuna tofaut kubwa ya maksi, sasa sijui huo upuuzi wa kuongezewa maksi unatoka
 

Attachments

  • 1403251205489.jpg
    1403251205489.jpg
    81 KB · Views: 140
Ok Lets cut the ----, where is your evidence?

I have provided mine, where is yours?[hapo umemkaba kooni kaka.. no research no right to speak.. kwa hiyo tunaweza kuconclude kwamba mtoa mada ni mropokaji tu asiyekuwa na uhakika na kile alichokiandika na pia ametawaliwa na roho ya ubaguzi,chuki pamoja na fitina za kutaka kuichafua Udom
 
Ok Lets cut the ----, where is your evidence?

I have provided mine, where is yours?[hapo umemkaba kooni kaka.. no research no right to speak.. kwa hiyo tunaweza kuconclude kwamba mtoa mada ni mropokaji tu asiyekuwa na uhakika na kile alichokiandika na pia ametawaliwa na roho ya ubaguzi,chuki pamoja na fitina za kutaka kuichafua Udom

Asante sana mkuu kwa kuliona hilo. Huyu jamaa ana chuki zake binafsi ndo maana anaamua kujiandikia tu upuuzi.

Hebu fikiria mtu unasoma kwa bidii ili usifeli halafu mtu mwingine anakwambia mnapewa majibu ya bure,
 
Mi nipo UDOM kwa sasa,na ukweli hakuna kitu kama hicho na watu wa disco kama kawaida.Huenda huyu jamaa ni mjasi wa ng'ong'ona hajui lolote na wala si mwanachuo na kama mwanachuo basi ni kilaza na ndio maana kafeli UDSM.Unafel vipi ud kwa mfano halafu uje utegemee kufaulu udom tena labd education au info.
 
Naomba nijitambulishe kwanza mimi ni mwanafunzi wa UDOM ambaye nilidisco UDSM. Sasa tokea nimeanza kusoma hapa UDOM kuna mambo nayaona hayako sawa. kama inavyojulikana wanafunzi wa hapa wengi uwezo wa darasani ni mdogo hivyo tunawaburuza tu darasani. Sasa kuna tabia ambayo ni common kwa karibu vyuo vishiriki vyote vya udom ya kuwaongezea maksi za coursework wanafunzi ambao wanakuwa na maksi ndogo ili wasifeli. mara ya kwanza nilipoiona nikajua labda ni kwa somo moja tu, baadae nikaona kila somo, baadae nikaona na course nyingine nao wanafanyiwa hivyo hivyo, baadaye nilipowauliza na wa vyuo vingine naambiwa hiyo ni kawaida hapa udom.

Kwa mfano kuna somo mwanafunzi wa kwanza ana c/w ya 35 out of 40 na wa mwisho ana 1 out of 40, mwalimu alichofanya ni kumpa 20 yule mwenye 1 ili awe na 21 na kumpa 1 mwenye 35 ili kuondoa lawama asijelalamika kuwa yeye hajaongezewa. yaani wote waliokuwa chini ya 10 wameongezewa kati ya 15 - 20, bila fomula yoyote. Yaani mwalimu kapanga kuwa course work ya wanafunzi ianzie 20.

Mimi sikatai wanafunzi magarasa wasisaidiwe ila ninachopinga ni namna wanavyosaidiwa, kwa kuwaongezea maksi wanazidi kulemazwa ndio hawatasoma kwa kuwa wanajua kuwa wataongezewa tena. Nafikiri njia bora ilitakiwa wapewe extra hours za kufundisha especially tutorials na baadaye wapewe make-up test hata kama zitatungwa below standard lakini at least ni njia inayokubalika katika vyuo vyote duniani. Ila hili la kugawa free marks linadidimiza elimu halafu linawakatisha tamaa wale wanaojituma kwa juhudi zao. The whole examination process becomes pointless, its even hardly worth the effort to make a success out of it because it leads you nowhere.

Hili zoezi la kugawa maksi linafanywa na walimu mmoja mmoja huko madarasani, Hiyo yote ni tisa, kumi ni pale malecturer ambao hawaamini kwenye kugawa maksi wanapo-submit matokeo ya UE kwenye uongozi wa chuo, chuo kinaanza kugawa maksi kwa wanafunzi waliofeli sana na kupunguza maksi kwa wanafunzi waliofaulu sana. Hili lilitokea semester iliyopita karibu vyuo vishiriki vyote vya UDOM ndio maana matokeo yalichelewa sana kutolewa. Wenyewe wanadai eti wana-standardize, eti matokeo yoyote yale lazima ya-reflect the so called "Normal distribution curve". waliosoma statistics wanaelewa maana yake ila literally inamaanisha kuwa katika darasa lazima kichwani wawepo wachache tumboni wengi bila kukosa mkia. Sasa kwa kutumia hii style hamuwezi kujua kama somo watu wamefeli sana tatizo ni mtaala au mwalimu anayefundisha haeleweki au delivery methodology au kuna tatizo gani. Sasa kwa kutumia hii style ya kuongeza maksi matatizo mengi ya kielimu UDOM yanajificha yanakuja kuonekana huko makazini ambako mtu aliyesoma UDOM tena kwa ufaulu mzuri anakuja kuonekana ana uwezo mdogo at its best.

Kuna taarifa zisizothibitishwa kuwa walimu wa UDOM wameambiwa wahakikishe wanafunzi hawafeli ili chuo kisikose ada kwa kuwa hakipati ruzuku serikalini ambayo itawalipa wao mishahara. Hii inamaanisha kuwa mwanafunzi kufeli UDOM ni mpaka aamue yeye mwenyewe kuondoka chuo na mabegi yake maana hata kama husomi ila upo around maksi utapata tu labda uende kuwashitaki kwa nini wamekupa maksi wakati wewe mwenyewe hutaki, of which is impossible.

Now I was asking myself, are we still having a university at UDOM or a breeding center for fake proffessionals? Please, I know some of Administrators visit this site, try to work on these concerns for the betterment of our colleges. If anyone disputes these facts, he/she can pm and i will forward the copies of some of the tempered coursework with respective names of their lecturers. Ni hayo tu

niko udsm mwaka wa pili,sijawahi ona upumbavu kama huo hapa chuo,udom naichukia balaa
 
niko udsm mwaka wa pili,sijawahi ona upumbavu kama huo hapa chuo,udom naichukia balaa

Afadhali wewe umesema una chuki bunafsi na udom, siwezi kubishana na wewe.

Ila narudia tena udom hakuna huo upuuzi na ushahidi nimeweka hapa mara kadhaa.

Huyo mleta mada nimemwambia mara nyingi hapa aweke ushahidi athibitishe madai yake ameshindwa.
 
Back
Top Bottom