Mwakalonge
Member
- Aug 3, 2013
- 39
- 19
Wadau,baada ya rumours nyingi,sasa imebidi niiweke hapa ili wadau mnisaidie.at nasikia kuna degree programmes udom zinatolewa kweny skuli,ambapo hakuna waalimu wowote waliobobea katika fani hizo?yaani kozi zingine zinafundishwa na part times kwa asilimia 100%,na zingine unakuta zinafundishwa na waalimu ambao ukiangalia vyeti vyao hawajawahi kusoma kabisa kozi hizo wanazofundisha.na kuna skuli zinatoa hadi masters wakati hakuna specialist wa area hiyo?na kozi zingine wanafunzi hawaendi field kabisa.hata wale wanaoenda,eti wanakuwa hawana supervision.yaan mwanafunzi anajifunza wenyewe na kujisahihishia mwenyewe?.hivi kama ni kweli,elimu ya tanzania tunaipeleka wapi?tcu wapo kweli?au kazi yao ni kuwapangia wanafunz vyuo bila kufanya inspection ya quality ya elimu?