Udom, udom, udom. Hivi hii ni kweli?

Udom, udom, udom. Hivi hii ni kweli?

Mwakalonge

Member
Joined
Aug 3, 2013
Posts
39
Reaction score
19
Wadau,baada ya rumours nyingi,sasa imebidi niiweke hapa ili wadau mnisaidie.at nasikia kuna degree programmes udom zinatolewa kweny skuli,ambapo hakuna waalimu wowote waliobobea katika fani hizo?yaani kozi zingine zinafundishwa na part times kwa asilimia 100%,na zingine unakuta zinafundishwa na waalimu ambao ukiangalia vyeti vyao hawajawahi kusoma kabisa kozi hizo wanazofundisha.na kuna skuli zinatoa hadi masters wakati hakuna specialist wa area hiyo?na kozi zingine wanafunzi hawaendi field kabisa.hata wale wanaoenda,eti wanakuwa hawana supervision.yaan mwanafunzi anajifunza wenyewe na kujisahihishia mwenyewe?.hivi kama ni kweli,elimu ya tanzania tunaipeleka wapi?tcu wapo kweli?au kazi yao ni kuwapangia wanafunz vyuo bila kufanya inspection ya quality ya elimu?
 
Wee unalalama wenzako wanachukua vyeti na kazi wanapata kama kawaida
 
huo ni umbea dogo master za Udom waalimu wapo wa kutosha kama ni msomaji shule ipo ila kama unataka umbea utakalia hayohayo.alikuambia ametafiti wp?
 
Huu uzi wako ungeupeleka jukwaa husika, huku jukwaa la siasa hatujadili ubora wa chuo, nadhani ungeelekeza huu uzi kwenye jukwaa la elimu.

cc: Paw, Fang, Moderator
 
Last edited by a moderator:
Mkuu asante sana kwa taarifa
nadhani wakuu watalifanyia kazi
ila nina wasiwasi maana nchi imeshasema liwalo na liwe
huduma muhumu kama elimu, hospitali, maji wamevitupilia mbali
wananchi wanapata shida sana
wamewasomesha watoto amefaulu vizuri wanaenda UDOM mmmh
wamebaki kutumia hela nyingi mno kuwalipa watu ili wawe mashahidi feki wa kesi za CHADEMA
Sasa ona watu wamefundishwa kusema tindikali na sasa imekuwa kawaida kabisa kumwagia mtu tindikali
Ila damu itawatafuna tuu siku za ccm zinahesabika madarakani
 
wee unalalama wenzako wanachukua vyeti na kazi wanapata kama kawaida

swala hapa sio kupata kazi.swala hapa ni,je,hiyo kazi unaweza kuifanya?umefundishwa na wataalam?ubora wa elimu ya tanzania uko wapi?kwa namna hii tuta produce proffessions watakaoshindana katika east african community? Je hii ni standard?au ni kisiasa?.
 
Kwani wewe hujui vyuo vikuu vya bongo vingi vina uhaba wa Wahazili?? Si mliofaulu vizuri hamtaki kubaki chuo kufundisha?? Sasa unataka chuo kifanye nini?? Ni lazima kutumia part time lecturers.
 
Sio mbaya watu kuzungumza ila nafikiri kama wewe ni msomi fanya tafiti UDOM sio mbali useme kwamba unashindwa
ila mi nipo pale napiga hiyo masters na nimemaliza cooursework juzi waalimu wapo tena wengi ni international figure
 
namashaka na elimu yako....umekuja kimipasho then jukwaa sio sahihi.
 
huu uzi wako ungeupeleka jukwaa husika, huku jukwaa la siasa hatujadili ubora wa chuo, nadhani ungeelekeza huu uzi kwenye jukwaa la elimu.

Cc: paw, fang, moderator

unajua,hili swala linafit pote.kwenye siasa na kwenye elimu.siasa ndipo inayotafuna ubora wa elimu ya tanzania,au sio?.
 
Last edited by a moderator:
Mbona malecturer wapo na shule inapigwa tu. Tena baada ya miaka 5 hiki chuo kitakuwa best kwa sababu kina madokta majanki wengi. I like UDOM
 
namashaka na elimu yako....umekuja kimipasho then jukwaa sio sahihi.

no need to panic.wasomi wana argue kwa facts na sio ki hivyo.however,kama hauna detail ya ku-share,sio lazima uchangie.
 
kwani wewe hujui vyuo vikuu vya bongo vingi vina uhaba wa wahazili?? Si mliofaulu vizuri hamtaki kubaki chuo kufundisha?? Sasa unataka chuo kifanye nini?? Ni lazima kutumia part time lecturers.

nasikia wataalamu wanafanyiwa interviews lakini hawaajiliwi.
 
Huu uzi wako ungeupeleka jukwaa husika, huku jukwaa la siasa hatujadili ubora wa chuo, nadhani ungeelekeza huu uzi kwenye jukwaa la elimu.

cc: Paw, Fang, Moderator

Toa maoni yako. Tatizo huna hoja siku zote hadi Zemacopolo, FaizaFoxy, Mwigulu Nchemba, Nape Nauye, Juliana, ,n.k, wakomenti ndo ulike tu, kazi kweli kweli kwa kizazi cha aina hii.
 
Kwani huko kwenye walimu si ndo wametoa kina wachumi daraja la kwanza na wamepewa nyadhifa kubwa tu kwenye chama tawala lakini uchumi ndo hausomeki kabisa hadi sasa!Kama vile haitoshi,ma snitch wengi wametokea huko kazi kuramba viatu vya mafisadi

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
nasikia wataalamu wanafanyiwa interviews lakini hawaajiliwi.

Vijana wakitanzania tumefikia hatua ya kuamini kila tunachoambiwa hata kama ni dhahiri unachoambiwa kuwa kina dalili zote za uongo. NDUGU YANGU UDOM INAWALIMU WA KUTOSHA NA HAKIKA KIMETOA FURSA KWA WAHADHIRI KUPIGA SHULE YA NGUVU KWA WADOGO WETU WA DIGRII YA KWANZA.VILEVILE KUHUSU SHAHADA YA UZAMILI WAHADIRI WAPO WENYE SIFA TU, NI MADAKTARI TU NDIO WANAOFUNDISHA. UKITAKA KUAMINI HILO WEWE MTOA MADA KWA DHAHIRI UMEONEKANA HAUJAENDA SHULE KWA KUSHANGAA CHUO KUWA NA PARTTIME LECTURER AMBAPO KUNA WAHADHIRI WA KIBONGO WANAENDA KUTOA MHADHARA UINGEREZA,UJERUMANI, NIGERIA SEMBESU UDOM? HIVYO NAKUSHAURI FANYA APPLICATION TCU HARAKA UJIUNGE UDOM UONE KAMA UTAPEWA CHETI CHA BURE.
 
vijana wakitanzania tumefikia hatua ya kuamini kila tunachoambiwa hata kama ni dhahiri unachoambiwa kuwa kina dalili zote za uongo. Ndugu yangu udom inawalimu wa kutosha na hakika kimetoa fursa kwa wahadhiri kupiga shule ya nguvu kwa wadogo wetu wa digrii ya kwanza.vilevile kuhusu shahada ya uzamili wahadiri wapo wenye sifa tu, ni madaktari tu ndio wanaofundisha. Ukitaka kuamini hilo wewe mtoa mada kwa dhahiri umeonekana haujaenda shule kwa kushangaa chuo kuwa na parttime lecturer ambapo kuna wahadhiri wa kibongo wanaenda kutoa mhadhara uingereza,ujerumani, nigeria sembesu udom? Hivyo nakushauri fanya application tcu haraka ujiunge udom uone kama utapewa cheti cha bure.

tatizo sio kuwa na part time lecturers,ila kutegemea tu part time lecturers bila kuwa na mtaalam wa kozi husika kwenye school,uwe muelewa.
 
Back
Top Bottom