Udom, udom, udom. Hivi hii ni kweli?

Huyu mleta mada hajaenda shule kabisa. Nimetoka udom juzijuzi nasubiri shavu we endelea kuchonga tu. Ishu ya part time ni kawaida kibongobongo mpk out na sio dom tu. Vyuo vingi vya Tz vinatumia part timer But Udom ina walimu nyomi na wengine huchukuliwa na vyuo vingine.
 
tatizo sio kuwa na part time lecturers,ila kutegemea tu part time lecturers bila kuwa na mtaalam wa kozi husika kwenye school,uwe muelewa.

usipate shida fanya hivi, wewe na kizazi chako msisome udom then siku nyingine mkibishana kijiweni saa mnakula majani usitumie hili jukwaa kukufanya ushinde ubishi. Mwisho kaoge ulale.
 

wewe umemelizia hapo,ndio maana una defend.lakini nadhani kama ni kweli bas ukwel unao moyoni
 
kuwa na part time lecturer sio tatizo watu wanaenda uingereza kufundisha kipind kimoja au course flan then anarud tz kuendelea na shughuli zake. Wanaoponda udom ndio hao hao walioomba nafasi wakakosa. ukitaka kusoma udom faulu kwanza form six au ngaz zingne za nacte with good performance. Heko kwa Prof.kikula na wasaidizi wake
 
hii taarifa si ya kudharau na kubeza jamani: kuna mambo yamezungumzwa na yana ukweli kama kuna uwezekano yalekebishwe fasta.

Nina ndugu yangu yuko hapo Udom anasoma Development Studies(Degree) yuko mwaka wa Pili; mpaka sasa hivi ananisumbua eti mimi nimtafutie Field Placement ili aweze kupotezeapo muda kwa kipindi cha takribani miezi 3 ya likizo.

Ananiambia Chuo hakina mpango wa kuwatafutia sehemu ya kufanya Field wameambiwa anayetaka atafute kwa matakwa yake na mpango wake. Alafu nilimuuliza kuhusu Research akaniambia kwamba waliandika Research proposal na kuimaliza kwa muda wa wiki mbili ambayo ni Title moja kwa kundi moja lenye wanafunzi 3-5, nilipomuhoji sana juu ya hilo akaleta dalili za kukasilika nikajua hamna kitu, kwani binafsi Research Proposal ya namna hiyo sijawahi ona.

Hivyo naweza kusema kwamba UDOM bado kuna ubabaishaji katika maeneo fulanifulani
 
Huu uzi wako ungeupeleka jukwaa husika, huku jukwaa la siasa hatujadili ubora wa chuo, nadhani ungeelekeza huu uzi kwenye jukwaa la elimu.

cc: Paw, Fang, Moderator


Huyu kiumbe kapost mara 2..kule jukwaa la elimu na hapa. kule kaona hakuna waliochangia hiyo post ndio kaleta hapa. ila japo sijasoma udom , nahisi huo ni utoto tu akikua ataacha..
 


PrN-kazihii taarifa si ya kudharau na kubeza jamani: kuna mambo yamezungumzwa na yana ukweli kama kuna uwezekano yalekebishwe fasta.

Nina ndugu yangu yuko hapo Udom anasoma Development Studies(Degree) yuko mwaka wa Pili; mpaka sasa hivi ananisumbua eti mimi nimtafutie Field Placement ili aweze kupotezeapo muda kwa kipindi cha takribani miezi 3 ya likizo.

Ananiambia Chuo hakina mpango wa kuwatafutia sehemu ya kufanya Field wameambiwa anayetaka atafute kwa matakwa yake na mpango wake. Alafu nilimuuliza kuhusu Research akaniambia kwamba waliandika Research proposal na kuimaliza kwa muda wa wiki mbili ambayo ni Title moja kwa kundi moja lenye wanafunzi 3-5, nilipomuhoji sana juu ya hilo akaleta dalili za kukasilika nikajua hamna kitu, kwani binafsi Research Proposal ya namna hiyo sijawahi ona.

Hivyo naweza kusema kwamba UDOM bado kuna ubabaishaji katika maeneo fulanifulani
 
UDOM ni mojawapo ya VYUO vya HOVYO kabisa kutokea TANZANIA, kwa postgraduate degrees hali ni mbaya zaidi maana wanafundishwa na walimu wengi wenye degree moja, kwa undergraduate kozi nyingi hata mazoezi kwa vitendo hawaendi, TUMEONGEZA IDADI YA WAHITIMU KWA CHUO HIKI CHA KATA BILA KUZINGATIA UBORA WA ELIMU.
 

Mkuu nenda zoom Tanzania ndio mahala panapokustahili
 

sio proffessions ni professionals......
 

MDOGO WAKO NDIO ICON YA FAMILIA?????
THEORY KASOMA LINI MPAKA AAMBIWE KUANDIKA PROPOSAL??!!!!
MUULIZE WANASOMA RESEARCH METHODS MARA NGAPI NA ZINATOKA IDARA GANI!!!??
KUHUSU FIELD PLACEMENTS SIO VYUO VYOTE WANATAFUTIA WANAFUNZI WOTE AS MAOFISI WAMEKUWA HESITANT KICHUKIA WANAFUNZI,I GRADUATED UDSM 2007 NA FIELD NILOFANYA BUNGE KWA KUTAFUTA MWENYEWE CHUO IDARA ILINIPA INTRO LATER TU

ENDELEA KUMCHUKULIA MDOGO WAKO KAMA THE VALID TRUTH!!!!!

Chalenge; Muulize anasoma course ngapi kwa mwaka na kama wanatumia unit au credits,then akupe GPA yake ndo utajua level ya mdogo wako
 

why are you lying pre maturely??!!!!

You mean a tutorial assistant akafundishe masters class????!!!!Kweli kabisa at a university level???!!

Wewe ni mnafiki regardless your age! !!! Unamjua director wa PG hapo mahali???!!!Unamjua mtu anaitwa Kinabo???!!

Hebu weka hiyo program,college,school na department ambayo kuna hiyo situation unayosema!!!!
 

hiyo ndo hali halisi..! Ukweli ambao ni mchungu, huwezi kufananisha bachelor degree of development planning ya IRDP (mipango) na ya UDOM.
 

Director wa programme au course ndiye anyefundisha modules zote? UDOM ni chuo cha OVYO na graduates wa UDOM hasa kwa masters watasugua lami sana unless wawe ni inservise, nina uthibitisho wa vijana kadhaa niliotakiwa kufanya nao kazi kama research assistants , toka UDOM ni MAJANGA.
 


Kumbe ni researcher halafu unaongelea habari ya chuo!!!!
Too low of you vijana kadhaa ndo una generalize chuo??????
Is this how you get representative sample for you studies????!!!
How did you choose them from the rest??!!!

Wewe ndio janga sasa mediocre researcher why didnt you go to the department for reccomendations??!!!! Uliosoma nao wewe wote ni researchers by now???!!!


Back to cores;

Director wa PG directorate unauliza kazi zake,lazy researcher cant even google!!!!!!!

Modules hufundishwa na walimu na assignments hufanywa at department level by the HoD and aproved by director after endorsement by dean and principals!!!!!Huyo tutor anapenyaje hapo kwenye huo mchujo???!!!


And you brag being a researcher....please Academy is not for everybody to poke a nose in better ask for clarity than generalizing things hastily from a lower level inductive methods
 
hiyo ndo hali halisi..! Ukweli ambao ni mchungu, huwezi kufananisha bachelor degree of development planning ya IRDP (mipango) na ya UDOM.


Hii sasa kali tena,, IRDP development and planning ndo major wengi wameanza cheti ,diploma then degree hapo hapo sasa why wasiwe wazuri sana kwa fani hiyo!!!! THOUGH WE NEED DATA ili kuendelea na huu mjadala wako ila uzoefu unaonesha hivyo so far!!!

Challenge; Wanaosoma mipango cheti na diploma degree za fani zao huwa wanasomea vyuo gani mkuu??!!!
 
Ndugu kwani wewe umeambiwa na nani kuwa Part Time Lecturers siyo wataalamu?? Elewa kuwa hao Part timers wanachukuliwa coz hakuna walioajiriwa; kama wataalamu wapo hakuna haja ya kuleta Part timers! na kila part timer anakuwa mtaalamu wa area yake. kumbuka kuwa mfumo wa Elimu ya juu (Vyuo Vikuu) ni tofauti na mifumo mingine; huko wanafunzi wanaoneshwa pa kusoma na jinsi ya kusoma, siyo habari ya kutumia vitabu vya "JIANDAE" kama skuli za msingi!

Nafikiri umekurupushwa kuleta mada!Siku nyingine fanya tafiti kabla ujahaibika kama hivi! Jambo la uhakika ni kwamba kuna watu wanaitwa External Examiners-wanatoka nchi za nje na wengine wanatoka ndani; kuevaluate Kiwango cha Elimu kinachotolewa na aina ya wakufunzi na sifa zao!

Fanya kazi, hacha majungu!

tatizo sio kuwa na part time lecturers,ila kutegemea tu part time lecturers bila kuwa na mtaalam wa kozi husika kwenye school,uwe muelewa.
 
...we unafikiri hiyo Field Placement ambayo mwanafunzi mwenyewe anaenda kutafuta kwa kubuni itakua na ufanisi kweli hiyo!!!, wewe kama ulifanya Field Bungeni kwa kujitafutia mwenyewe shukuru Mungu ulibaatisha; na ata hivyo nina mashaka na ulichosoma darasani as Theory kama ndicho ulienda kufanyia Practical sana sana na we ulienda tu huko ili nawe uonekane uko Field:

sifa za kijinga tuache, Kitu cha msingi ambacho unatakiwa ukijue na kinachoongelewa hapa ni Juu ya ubora wa elimu inayotolewa UDOM hasa kwa baadhi ya Course, uwezi kuniambia nikakuelewa kwamba Mwanafunzi apewe INTRO LETTER aende mwenyewe kuangaika kutafuta Field Placement kusikojulikana bila Supervison yoyote ile alafu at the end of the day uniambie eti huyo mwanafunzi amejifunza kwa vitendo..

Of coz uhozo huu siyo UDOM peke yake bali ata Vyuo vingine upo ila unatofautiana lakini atuwezi kusema ni kawaida tuache hivyohivyo. Imagine mtu anamaliza Degree ya kwamba ukiangalia Transcript yake unakuta amesoma Research Methodology na ameandika Dissertation/research paper na vyote amefaulu sana tu-ukimuuliza Statement of the Problem ameipataje anajikanyaga tu.

Tuache sifa, tupende kukosolewa na kushauriwa na pia kuishauri Serikali panapowezekana kuongeza umakini, vinginevyo Elimu ya Juu tunaizika.
 


Endelea na remorse zako mkuu watu wanakosa dawa, wanawake wanazalia chini we unashangaa mtu kukosa placement!!!

Nimejaribu kukupa picha halisi wewe umekamatana na story ya mtaani hiyo case yangu ni kiwa ujue vyuo vingi havipati nafasi kwa wanachuo wote wahitaji so kwa wanaokosa inabidi wajitafutie na sababu nimekupa kuwa ofisi nying zinachukulia kama trainees ni mzigo or something kwa hiyo wanachukua watu wachache sana. Sasa hapo chuo kinafanyaje kwa mfano!!!

Udom ni buzz word kwa sasa kwa hiyo sikushangai wala na vyuo si viko vingi pia wanaoona.pale.sio ni kupeleka kwingine tu dont bother.It is a new UNi a milestone ya chuo kikubwa sio kama ofisi binafsi kwa hiyo kipindi ambacho we are in shumbles UDOM is not exceptiona case


Hutaki unaacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…