Udom, udom, udom. Hivi hii ni kweli?

:ban:

Hivi mku ilipokuwa ni IDM Mzumbe na sasa ni UNI unaongleaje suala la practicals????
 


I thought tunajadili kumbe we unaona nabisha daaaanh haya

Kuna mtu katoa analysis on part timers na lack of practicals hayo ndo mambo we would like kusikia ili yafanyiwe kazi na kaweka departments in specific lakini kusema mdogo wako kakosa field attachment tgen chuo ndo kibaya no way!!!!

Nikatoa mfano mii nimesoma UDSM lakini sikupata field sasa je ni chuo kibovu????!!!

Anyways kama unaona nabisha usipoteze muda wako mkuu
 
Hv ww we uko chuo kwel au umefanya application mwaka huu?maana unadai unasikia UDOM hivi mara UDOM vile wakati hujafanya utafiti wowote mi nadhan umesahau msemo usemao 'NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK', Mi nadhani jipange upya fanya utafiti halafu ukiona kuna ukweli ndo ulete apa jamvini huo ukweli wako.For informations visit www.udom.ac.tz .
 

Udom ina gundu dah kama kusemwa imesemwa hadi imekuwa soo mtaani
 
Toa maoni yako. Tatizo huna hoja siku zote hadi Zemacopolo, FaizaFoxy, Mwigulu Nchemba, Nape Nauye, Juliana, ,n.k, wakomenti ndo ulike tu, kazi kweli kweli kwa kizazi cha aina hii.

Duh umewagusa wengi, kaxi ku-mention watu muache tabia hii mbayaa
 

Placement ni jukumu la chuo au mwanafunzi? How comes?


Gpa ni kipimo cha kukariri
 
Binafsi mengine yote nayapinga ila nina uhakika 100% kwamba baadhi ya courses hazina field practicals hasa social sciences na humanities. Elimu ya tz kwa ujumla ni feki tu, uwe ud au popote
 
yah hilo swala linawezekana kabisa na sio udom tu, vyuo vingi tu vya umma mchezo huo upo....halafu wenyeew watoto wao wanawapeleka nje kusoma....hii ndo bongo mkuu...!!!!!
 
Acha umbea..
Great thnkers don't pop up frm nowhere with hearsays..
"Nimesoma udom"
Nlikua social,Shule inapgwa sana tu..koz yangu 2lifanya research 2(1st yr & 3rd yr),na field 2lipiga-au niku2mie dissertation?
Hizo siasa..acha watoto wakasome.
Viva udom!
 

Hongeraa kwa kusoma chuo cha kataa sijui huko kazini itakuaje? ni mzigo wa miba haubebeki
 
Placement ni jukumu la chuo au mwanafunzi? How comes?


Gpa ni kipimo cha kukariri

Madawati ni jukumu la serikali au mzazi???!!!!
Dawa ni jukumu la mgonjwa au serikali????!!!


Listi ni mdeeefu wala hamna ajabu kwa UDOM wakati hali iko hivi na sisi tunatafuta jinsi ya kujinasua kwa suluhisho endelevu life must go on so you be rigid and break or flexible and get through!!!
 

Tunataka ukubali kwanza UDOM ni chuo cha kata
 

Kwa hiyo dissertation UDOM mnaandika mkienda field? Mbona mnatisha.
 
Kwa hiyo dissertation UDOM mnaandika mkienda field? Mbona mnatisha.


Kwani field ni nini???!! Au ni wapi rather??

Dissertetion anaandika mtu au sehemu???!!!

Kama una data tayari ukiwa field nini kinakushinda kuandika???!!!
 
...to shorten the story and slightly, let me agree with you: without doing so we can prolong a lot of argumentation for nothing: it seems you know the reality but you dont want to accept.

Dont be conservative man, come on.
 
..Kinachutuharibu Watanzania ni unafiki,kupuuza na kuukwepa ukweli,lakini ukweli haukubali kupuuzwa siku zote.
Ni hivi huu ujumbe alioutoa mtoa mada una ukweli kwa zaidi ya asilimia 90%,course nyingi(degree programes) za social sciences hamna field(mafunzo kwa vitendo),eg B.A Public Administration,B.A PSPA,B.A Sociology to name but afew,nimesoma na kuhitimu sometimes back!
tujadili ukweli ulivyo kwa manufaa ya wadogo zetu,ndugu zetu na watoto wetu wataokuja kusoma UDOM au chuo chochote kingine Tanzania,elimu yetu haiko salama kuanzia vyuo vikuu na kushuka chini!
 
Udom = OUt? Mna gundu wenye vyeti vya hizi university duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…