Lost Gangstar
Member
- Nov 1, 2014
- 20
- 1
Udsm hamna kitu kama hicho kununa kitabu ili ufailu.Sua nao wanatabia kama hiyo sasa sijui wanafunzi kila semister utanunua vitabu vingapi. Maana stationary allowance tu yenyewe huwa haitoshi kutolea madesa sembuse kununua vitabu. Inabidi mjiorganize mumugomee kununua bila hivo mtaumia wenyewe.Hafu kwanini msiwe mnaingia baadhi ya website mnadownload vitabu wenyewe.Hafu huyo lecture kawafanya mtaji mana ma lecture huwa wana password ya kuwa na free access Ku download na kuwatumia soft copy kuliko kununua kitabu.
Umesema vyema ila ni ngumu sana kiutelezaji.
Sema tu Wabongo wenye stress za maisha wanapenda kunyanyasa wenzao bila sababu tu.Ma lecture nikiwa undergraduate kwa kuwa walikua na wigo wa Ku access vitabu walikua wana tutumia kwa email kiurahisi. Sasa hao wa vyuo vingine wanaumiza wana chuo bure, waache upuuzi huo.
Udsm hamna kitu kama hicho kununa kitabu ili ufailu.Sua nao wanatabia kama hiyo sasa sijui wanafunzi kila semister utanunua vitabu vingapi. Maana stationary allowance tu yenyewe huwa haitoshi kutolea madesa sembuse kununua vitabu. Inabidi mjiorganize mumugomee kununua bila hivo mtaumia wenyewe.Hafu kwanini msiwe mnaingia baadhi ya website mnadownload vitabu wenyewe.Hafu huyo lecture kawafanya mtaji mana ma lecture huwa wana password ya kuwa na free access Ku download na kuwatumia soft copy kuliko kununua kitabu.
Kwa njia uliopendekeza jaitatuingizia kipato. Mimi nipo udom nafundisha nisubiri mshahara tu? Sina dsa, mbona vitengo vingine kama vile TRA , TPA, TISS, police, nk wanapata posho sawa na mshahara? Mimi nikiuza vitabu 80 @30,000 ni ubunifu. Kumbuka pia kuna cost of production....
Udsm hamna kitu kama hicho kununa kitabu ili ufailu.Sua nao wanatabia kama hiyo sasa sijui wanafunzi kila semister utanunua vitabu vingapi. Maana stationary allowance tu yenyewe huwa haitoshi kutolea madesa sembuse kununua vitabu. Inabidi mjiorganize mumugomee kununua bila hivo mtaumia wenyewe.Hafu kwanini msiwe mnaingia baadhi ya website mnadownload vitabu wenyewe.Hafu huyo lecture kawafanya mtaji mana ma lecture huwa wana password ya kuwa na free access Ku download na kuwatumia soft copy kuliko kununua kitabu.
hivi najiuliza huu utaratibu wa kila mwl kuingia drsn nakutangaza kuwa lazima ununue kitabu chake km hununui ye ndo ana degree yako upo udom tu au vyuo vyote tz na je haki elimu hmuna maspy hapa udom inakela sana tena sana nanyi wanafunz wa udom mkitishiwa tu munabak kulialia amken nyie co shamba la bibi sawa

watanzania ndo mlivyo hampendi kusoma vitabu alaf udom kna compendium sio vitabu zile no lecture notes ndo znuzwa sasa kipi bora afundishe akupe ukatoe photocopy au akuprintie yy ambapo unakuta bei ni nafuu zaidi so acheni ujinga muwe mnafikiriaSio udom tu kuna mdogo wangu anasoma MOCU zamani Muccobs anasema kuna lecturer mmoja aliyepewa uproffessor hivi majuzi anaitwa Magigi. Unaambiwa yeye ana kitabu chake cha research na project planning na kila mwaka anatoa new edition so huwezi kutumia cha mwaka uliotangulia....ukitaka usitoboe acha usinunue kitabu maana nasikia hata class hutapewa nafasi ya presentation. Kwa kweli huu ni ujinga uliopitiliza kwa wanafunzi wa elimu ya juu kufanyiwa mambo kama haya.