Lost Gangstar
Member
- Nov 1, 2014
- 20
- 1
Hivi najiuliza huu utaratibu wa kila mwalimu kuingia darasani na kutangaza kuwa lazima ununue kitabu chake kama hununui yeye ndo ana degree yako upo UDOM tu au vyuo vyote Tanzania?
Nna je haki elimu hamna maspy hapa Udom? Inakera sana tena sana na nyi wanafunzi wa udom mkitishiwa tu munabaki kulialia amkeni nyie sio shamba la bibi, sawa?
Nna je haki elimu hamna maspy hapa Udom? Inakera sana tena sana na nyi wanafunzi wa udom mkitishiwa tu munabaki kulialia amkeni nyie sio shamba la bibi, sawa?