UDOM wanafunzi wageuka mtaji

UDOM wanafunzi wageuka mtaji

Lost Gangstar

Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
20
Reaction score
1
Hivi najiuliza huu utaratibu wa kila mwalimu kuingia darasani na kutangaza kuwa lazima ununue kitabu chake kama hununui yeye ndo ana degree yako upo UDOM tu au vyuo vyote Tanzania?

Nna je haki elimu hamna maspy hapa Udom? Inakera sana tena sana na nyi wanafunzi wa udom mkitishiwa tu munabaki kulialia amkeni nyie sio shamba la bibi, sawa?
 
hiyo ipo sana kwa wanaosema education, st.john dodoma pia nilisikia hivyo kwa wale wa first year na kweli waliokaidi wengi walifelisha wakaambiwa kurudia semista, ambao hawakuwa tayari kirudia wamerudi nyumbani....
Ndio elimu ya siku hizi ma lecturer nao njaa tupu
 
Udsm hamna kitu kama hicho kununa kitabu ili ufailu.Sua nao wanatabia kama hiyo sasa sijui wanafunzi kila semister utanunua vitabu vingapi. Maana stationary allowance tu yenyewe huwa haitoshi kutolea madesa sembuse kununua vitabu. Inabidi mjiorganize mumugomee kununua bila hivo mtaumia wenyewe.Hafu kwanini msiwe mnaingia baadhi ya website mnadownload vitabu wenyewe.Hafu huyo lecture kawafanya mtaji mana ma lecture huwa wana password ya kuwa na free access Ku download na kuwatumia soft copy kuliko kununua kitabu.
 
Umesema vyema ila ni ngumu sana kiutelezaji.
 
Sema tu Wabongo wenye stress za maisha wanapenda kunyanyasa wenzao bila sababu tu.Ma lecture nikiwa undergraduate kwa kuwa walikua na wigo wa Ku access vitabu walikua wana tutumia kwa email kiurahisi. Sasa hao wa vyuo vingine wanaumiza wana chuo bure, waache upuuzi huo.
 
Hio ni tabia tu ya mtu. malecturer wote wa vyuo vya umma wanalipwa mshahara mmoja. Na si mdogo kihivyo. Hapo bado posho za field na kumark papers na consultants kibao..Ukiona mtu yuko hivyo ujue ni kilaza na hakustahili kuwa hapo.
 
TlA lecturers wanauza notes ... Usipo nunua shauri yako ..
 
Udsm hamna kitu kama hicho kununa kitabu ili ufailu.Sua nao wanatabia kama hiyo sasa sijui wanafunzi kila semister utanunua vitabu vingapi. Maana stationary allowance tu yenyewe huwa haitoshi kutolea madesa sembuse kununua vitabu. Inabidi mjiorganize mumugomee kununua bila hivo mtaumia wenyewe.Hafu kwanini msiwe mnaingia baadhi ya website mnadownload vitabu wenyewe.Hafu huyo lecture kawafanya mtaji mana ma lecture huwa wana password ya kuwa na free access Ku download na kuwatumia soft copy kuliko kununua kitabu.

Kwa njia uliopendekeza jaitatuingizia kipato. Mimi nipo udom nafundisha nisubiri mshahara tu? Sina dsa, mbona vitengo vingine kama vile TRA , TPA, TISS, police, nk wanapata posho sawa na mshahara? Mimi nikiuza vitabu 80 @30,000 ni ubunifu. Kumbuka pia kuna cost of production....
 
Kwahyo kwa vile wengine wanaiba na wewe ndo uwe mwizi sio inaonyesha hata hao wanafunzi wanawaogopa mno na huo ni wizi kama wizi mwingine mshahara ukikushinda unaacha kazi unaenda kutafta yenye masilahi sio kuumiza walalahoi wenzako eti kosa Tiss sijui Tra that's not fair for sure hatutakaa tuendeleee kamwe ina maana ni Udom tu mnaopewa mishahara midogo.
 
Udsm hamna kitu kama hicho kununa kitabu ili ufailu.Sua nao wanatabia kama hiyo sasa sijui wanafunzi kila semister utanunua vitabu vingapi. Maana stationary allowance tu yenyewe huwa haitoshi kutolea madesa sembuse kununua vitabu. Inabidi mjiorganize mumugomee kununua bila hivo mtaumia wenyewe.Hafu kwanini msiwe mnaingia baadhi ya website mnadownload vitabu wenyewe.Hafu huyo lecture kawafanya mtaji mana ma lecture huwa wana password ya kuwa na free access Ku download na kuwatumia soft copy kuliko kununua kitabu.

Hiyo SUA inayouza vitabu ili watu wafaulu.sijui ni SUA ipi mkuu, nimesoma mpaka nimemaliza sua lakini hata notes tu sembuse kitabu sijawahi kuuziwa
 
Unamaanisha vitabu kabisaaa au madesa tu (compilled notes)
 
Sio udom tu kuna mdogo wangu anasoma MOCU zamani Muccobs anasema kuna lecturer mmoja aliyepewa uproffessor hivi majuzi anaitwa Magigi. Unaambiwa yeye ana kitabu chake cha research na project planning na kila mwaka anatoa new edition so huwezi kutumia cha mwaka uliotangulia....ukitaka usitoboe acha usinunue kitabu maana nasikia hata class hutapewa nafasi ya presentation. Kwa kweli huu ni ujinga uliopitiliza kwa wanafunzi wa elimu ya juu kufanyiwa mambo kama haya.
 
hivi najiuliza huu utaratibu wa kila mwl kuingia drsn nakutangaza kuwa lazima ununue kitabu chake km hununui ye ndo ana degree yako upo udom tu au vyuo vyote tz na je haki elimu hmuna maspy hapa udom inakela sana tena sana nanyi wanafunz wa udom mkitishiwa tu munabak kulialia amken nyie co shamba la bibi sawa

Kijana Acha uzembe, shukuru mungu umepata hata hicho kitu cha kusoma. Kuna vyuo hapa bongo mwalimu anafundisha somo lake hana notes na akifundisha kama anakimbia huwezi kunakili chochote, mnaenda kukomaa na mavitabu ya zamani library. Kwani huyo mwalimu akitoa hata handout bure si utaenda kutoa copy? Usiangalie ni kitu gani unatoa angalia kinakusaidiaje kwenye maisha yako.
 
mmmmmh...hako katabia kweli kapo sana hata hapa saut mwanza hasa kwa wanao soma kiswahili,ticha anawaambia mtihan wake mnaingia na vitabu vyake na majibu yapo humo na hakuna kuazimanA,baada ya pepa na kitabu hakina kazi tena,sasa kwa staili hii tutafika kweli? wawe na utu hawa malecturer
 
hivi najiuliza huu utaratibu wa kila mwl kuingia drsn nakutangaza kuwa lazima ununue kitabu chake km hununui ye ndo ana degree yako upo udom tu au vyuo vyote tz na je haki elimu hmuna maspy hapa udom inakela sana tena sana nanyi wanafunz wa udom mkitishiwa tu munabak kulialia amken nyie co shamba la bibi sawa

Kazi ya PESA ya Stationary ni kununua Materials na wala SI kunywea BIA master pub ' cafe Latino au kununulia Malaya uhindini.

usiangalie kitabu kina gharama kiasi gani angalia kinakusaidiaje Maishani.
nunua material do go elimu ya chuo si km sekondari.
 
Sio udom tu kuna mdogo wangu anasoma MOCU zamani Muccobs anasema kuna lecturer mmoja aliyepewa uproffessor hivi majuzi anaitwa Magigi. Unaambiwa yeye ana kitabu chake cha research na project planning na kila mwaka anatoa new edition so huwezi kutumia cha mwaka uliotangulia....ukitaka usitoboe acha usinunue kitabu maana nasikia hata class hutapewa nafasi ya presentation. Kwa kweli huu ni ujinga uliopitiliza kwa wanafunzi wa elimu ya juu kufanyiwa mambo kama haya.
watanzania ndo mlivyo hampendi kusoma vitabu alaf udom kna compendium sio vitabu zile no lecture notes ndo znuzwa sasa kipi bora afundishe akupe ukatoe photocopy au akuprintie yy ambapo unakuta bei ni nafuu zaidi so acheni ujinga muwe mnafikiria
 
hivi najiuliza huu utaratibu wa kila mwl kuingia drsn nakutangaza kuwa lazima ununue kitabu chake km hununui ye ndo ana degree yako upo udom tu au vyuo vyote tz na je haki elimu hmuna maspy hapa udom inakela sana tena sana nanyi wanafunz wa udom mkitishiwa tu munabak kulialia amken nyie co shamba la bibi sawa

Wewe ndo mburula kabisa, unalalamika kuuziwa kitabu ilhali upo chuo? Hujui hapo ni pahala pa kupaia maarifa na maarifa yamo kwenye kitabu? Au ulitaka upewe buuree? Hata vitabu vya dini vinauzwa sembuse vitabu vya elim dunia???Swine..
 
Back
Top Bottom