private huwezi fanya huo upumbavu. Utawekwa ndani na kazi utatimuliwa tena ndo ukute private inayosimamiwa na shirika la dini kama katoliki, huko ndo hakuna cha mswalia mtume, watakaokutetea mnaondoka nao ili wakakuliwaze vzr nyumbani pamoja na mkeo.Labda kwa private institutions na sio gov,, nawajua lecturers baadhi ambao wametoka kuwa senior lecturers to Normal lecturers,, just because of posing threats kwa wanafunzi na kuwafelisha kwa makusudi ( na hiyo it's just kuwakomoa na sio kwamba walitaka sex)
Yes perverts wapo wengi tu, lakn eti just because ww ni "mwanafunzi mzembe" ndo ujifanye easy prey watakutafuna tu,,
I
Mabint jau sana... Sasa hapo bint kajidharirisha sana, na kama ni mwaka wapili basi atamaliza kwa mbinde sana... Jaman Hawa watu ni wanaumoja hatar, ko kesi itaemda itaisha then fate ya mwanafunzi ni ipi....hamalizi chuo huyo wanamkazia balaa, Sasa kafaidika Nini, what if Kama lecture alimtongoza nje ya Kaz,....fact ni kuwa lecture anashinda kesi kwakuwa hajabaka,...mbususu inamkosesha kazi;
jamaa hayuko makini;
kutongoza si kosa,kulazimisha mapenzi ni upumbavu kiwango cha sgr;
naomba apewe adhabu;
tulia wewe, ukishakuwa lecturer wa udom huna haki ya kutongoza. Ukitongoza tuu amua uache kazi mwenyewe au tuje tukufumuwe marinda.Mabint jau sana... Sasa hapo bint kajidharirisha sana, na kama ni mwaka wapili basi atamaliza kwa mbinde sana... Jaman Hawa watu ni wanaumoja hatar, ko kesi itaemda itaisha then fate ya mwanafunzi ni ipi....hamalizi chuo huyo wanamkazia balaa, Sasa kafaidika Nini, what if Kama lecture alimtongoza nje ya Kaz,....fact ni kuwa lecture anashinda kesi kwakuwa hajabaka,...
Bint ni over 18,...
Pili huenda bint kafeli kweli ....
Tatu bint kashika kwenye makali atulie tu na kashajishusha vyeo, ogopa sana kuwa chambo , Hawa wakubwa wanalindana sana lecture anaconnection had police na mahakaman,.huyu sio wa kwanza kufanya hivi laknsio Wawa mwisho pia....hvi vitu suruhisho lake ni msuli tu ili uwe na marks za uhakika....Sasa mtu unaona sup,unapga simu ya Nini, subiri ratiba kapige pepa
wale wakufunzi ni malaya hawaoni aibu mkuu, they are agents of evil, yani kwa kifupi kuchakata vitumbua ni kama jukumu lao la msingiJamaa yuko na kipensi mkewe atakuwa kashainyaka dah aibu sana yani unless otherwise awe hajaoa
mh, haya ni mafuta kwa mgongo wa chupaIla kusoma ni kipaji, hongera zenu wote ma degree holders, nyie ni washindi hata msipopata kazi🤝🤝🤝🤝💪💪💪💪💪💪💪💪
hicho kipengele cha ushindi bila hata kazi hakinipi utulivu kabisaKwa nini unadhani hivyo? Lol
Hawasomi course work mbovu bado UE wanapiga below hata mwalimu kukusaidia na mark up pia anashindwaNi hatari, Nashukuru Mungu nimesoma chuo tena hapo Udom ila sikuwahi kua na mahusiano na mwanachuo, niliyokua najionea kwa hawa watoto wa kike ni ya kutisha.
Yaani kwanza kama unavyosema ni vilaza ile mbaya, hawasomi wanakula bata tu. Pili wao wenyewe ndiyo wanajisort kwenye mfumo wa kuliwa ili wasaidike, hawa wakirudi huku kitaa washakua used ile mbaya.
View attachment 1989246
Msuaso mwenzetu huyoWewe ni mwana SUA mwenzangu?.
Embu hio code irudie tena mwana suaso mwenzanguNdio.
Naona mode wamefuta nilichoandika.
Ukikurupushwa abdala kichwa wazi aliyekuponza utakuta amenywea utadhani siye.Mkufunzi akiwa red handed katika maandalizi ya kula mchebwede!
Nazan huwajui wanafunztulia wewe, ukishakuwa lecturer wa udom huna haki ya kutongoza. Ukitongoza tuu amua uache kazi mwenyewe au tuje tukufumuwe marinda.
Safi Sana Mkuu.Ulihitimu mwaka gani Mkuu pale SUA?Msuaso mwenzetu huyo
tulia ide, tafuta dem chuo kingine anaeliwa na mwal ambaye hakugundishi maana hao wapenzi mkimaliza chuo mtaachana waachie na walimu nao wale poshoNiseme tu huyu jamaa, kwanza kasababisha wenye wapenzi wao wapo chuo waanze kuishi kwa stress saaana! pili hata wale wenye wapenzi wametoka chuo, kwa sasa wamepoteza iman na hao wapenzi wao, hiv vtendo vkomeshwe! vaa uhusika kuwa ww n mzazi wa mtoto wako wa kike!
2016Safi Sana Mkuu.Ulihitimu mwaka gani Mkuu pale SUA?
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Mmajuaje kama ni madent wa UDOM? Wanavaa IDs?Kama udom wana under 16 wanatakiwa waongeze iwe 25. Tukiwa kikazi pale Dodoma vijana wanazurula sana.