UDSM, IFM mbona mpo kimya majina ya vyuo vyenu yanapotumika katika video za ngono?

UDSM, IFM mbona mpo kimya majina ya vyuo vyenu yanapotumika katika video za ngono?

Tamaa,tamaa,tamaa!!watoto wa vyuoni wanapenda maisha sio yao!!wengine enzi tuko early 20's tulikua na boyfriends zetu wanachuo and we were proud of hata kama hatupewi vitu vya maana ile status tu boy wako Yuko UD au Sua was big respect... Sasa hivi vitoto hivi vinapenda maisha makubwa at that age ako na libaba la miaka 60...anawaza kumiliki iPhone, geto kaaali,kuvaa nguo nzuri,aende mlimami city akaoshe kunnua mazaga!!!
Kwa life style ya bongo ni ngumu kumpata kijana mwenziwe au mtoto km yeye atakaeweza kummudu,mwisho wanaishia kudhalilika...!!!

Huyo binti kadanganywa kupewa laki 700k kakubali kukalia chupa ya mirinda,kajifotoa pesa hajapata akajikuta yeye ndo anawapa mwisho wamevujisha,yaani Umri huo mchupa unapita...aseehh!Mungu atunusuru tena mpk nyuma inaingia..subhanaa llaaah!!baadae aje kua mama au mke wa mtu kabisaa!then utegemee mwanawe siku moja amuheshimu sio kwa Tanzania hii!!!ambayo ukiwa tu single mama unaoneka hopeless!!!

Tuombe Mungu sana hizi hali zisitukute maana zinaumiza mnooo!!!
Watoto wa kike na wa kiume waridhike na hali zao maisha yapoo!!!Utu kwanza!!
Wajifunze kukubali umaskini wao kabla ya lolote
Jamaa wenye mipango ya kuowa wana safari ndefu sana
 
Kumetokea mtindo wa kusambaa kwa video za ngono (maarufu kama connection) na ambazo muhusika au wahusika katika video hizo wanatajwa kuwa ni wanafunzi wa chuo fulani nchini, mara nyingi ni UDSM, IFM na hata UDOM.

Sijawahi kusikia mamlaka za vyuo hivi zikiongelea kuhusu video hizi, ni kama linaonekana ni jambo la kawaida.

Juzi nimekutana na video ambayo inavyosambazwa wanasema ni wanafunzi wa UDSM ila ukiwaona wahusika ni kama waethiopia au wanyarwanda na hata lugha wanayotumia siyo lugha zetu. Hili mimi nimegundua kwa sababu ni mfuatiliaji, ila wengi wanachukualia mambo juu juu bila kutafakari. Isije kuwa kuna njama za kuteketeza elimu yetu sisi tunabaki tu kushangilia connection mpya.

Hili jambo lina madhara makubwa kwa taasisi husika na kwa elimu yetu kwa ujumla. Tayari elimu yetu ina changamoto nyingi, tusiruhusu nyingine kama hizi ambazo zinaweza kabisa kukabiliwa kabla hazijawa sugu. Nasemaga siku zote, uhai wa taifa lolote upo katika mazingira yanayozunguka elimu inayotoa kwa watu wake.

Nashauri mamlaka husika liliangalie jambo hili kwa umakini unaostahili.
Ila ujue pia maranyingi Video za ngono wanao ziona ni watu wanaofuatilia mambo ya aina hiyo...namaanisha haziko easily accessible, na ujue Taasis kubwa huwa hazipambani na habari zisizo rasmi la sivyo zitakuwa kwenye kesi kila siku
Niseme tu ukweli, mimi sijawahi kukutana na hizo video pamoja na kuwa na magroup rasmi meengi tu
 
Ila ujue pia maranyingi Video za ngono wanao ziona ni watu wanaofuatilia mambo ya aina hiyo...namaanisha haziko easily accessible, na ujue Taasis kubwa huwa hazipambani na habari zisizo rasmi la sivyo zitakuwa kwenye kesi kila siku
Niseme tu ukweli, mimi sijawahi kukutana na hizo video pamoja na kuwa na magroup rasmi meengi tu
We huna connection mkuu.
 
Back
Top Bottom