Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Yani mie unitishie shetani mkuu hahahah utachelewa sana! Shetani tunaishi nae masaa 24 yupo tu wala sio swala😅 usipomnywa utamla au kumsikiliza bila kusahau kumuwazaHujui kutisha mtu mwambie simu yake imejaza mapepo ya ngono hii inasababisha awindwe na roho ovu kutaka kuzimu roho hizi ni chafu huweza kumuingia mtu kutoka kwenye simu!,umauti unamuwinda na hapo alipo hana tofauti na shetani wote wawili watawekwa kwenye moto wa jehanam.. mashetani wameshainywa damu yake na mwili wake wameufanya Kama mkate wanajimegea tu! Yupo katika kifungo cha uasherati!.
Mwambie aache ila atahitaji maombi ya nguvu pia sadaka atoe Sana.