UDSM, IFM mbona mpo kimya majina ya vyuo vyenu yanapotumika katika video za ngono?

UDSM, IFM mbona mpo kimya majina ya vyuo vyenu yanapotumika katika video za ngono?

Kumetokea mtindo wa kusambaa kwa video za ngono (maarufu kama connection) na ambazo muhusika au wahusika katika video hizo wanatajwa kuwa ni wanafunzi wa chuo fulani nchini, mara nyingi ni UDSM, IFM na hata UDOM.

Sijawahi kusikia mamlaka za vyuo hivi zikiongelea kuhusu video hizi, ni kama linaonekana ni jambo la kawaida.

Juzi nimekutana na video ambayo inavyosambazwa wanasema ni wanafunzi wa UDSM ila ukiwaona wahusika ni kama waethiopia au wanyarwanda na hata lugha wanayotumia siyo lugha zetu. Hili mimi nimegundua kwa sababu ni mfuatiliaji, ila wengi wanachukualia mambo juu juu bila kutafakari. Isije kuwa kuna njama za kuteketeza elimu yetu sisi tunabaki tu kushangilia connection mpya.

Hili jambo lina madhara makubwa kwa taasisi husika na kwa elimu yetu kwa ujumla. Tayari elimu yetu ina changamoto nyingi, tusiruhusu nyingine kama hizi ambazo zinaweza kabisa kukabiliwa kabla hazijawa sugu. Nasemaga siku zote, uhai wa taifa lolote upo katika mazingira yanayozunguka elimu inayotoa kwa watu wake.

Nashauri mamlaka husika liliangalie jambo hili kwa umakini unaostahili.
Pale udsm wapo watu toka mataifa mbalimbali sa cjaelewa uchunguz wako ulobain kuwa ni waethiopia au wanyarwanda bimaana hizo jamii haziwezi kuwepo udsm kama wanafunzi?
 
Tamaa,tamaa,tamaa!!watoto wa vyuoni wanapenda maisha sio yao!!wengine enzi tuko early 20's tulikua na boyfriends zetu wanachuo and we were proud of hata kama hatupewi vitu vya maana ile status tu boy wako Yuko UD au Sua was big respect... Sasa hivi vitoto hivi vinapenda maisha makubwa at that age ako na libaba la miaka 60...anawaza kumiliki iPhone, geto kaaali,kuvaa nguo nzuri,aende mlimami city akaoshe kunnua mazaga!!!
Kwa life style ya bongo ni ngumu kumpata kijana mwenziwe au mtoto km yeye atakaeweza kummudu,mwisho wanaishia kudhalilika...!!!

Huyo binti kadanganywa kupewa laki 700k kakubali kukalia chupa ya mirinda,kajifotoa pesa hajapata akajikuta yeye ndo anawapa mwisho wamevujisha,yaani Umri huo mchupa unapita...aseehh!Mungu atunusuru tena mpk nyuma inaingia..subhanaa llaaah!!baadae aje kua mama au mke wa mtu kabisaa!then utegemee mwanawe siku moja amuheshimu sio kwa Tanzania hii!!!ambayo ukiwa tu single mama unaoneka hopeless!!!

Tuombe Mungu sana hizi hali zisitukute maana zinaumiza mnooo!!!
Watoto wa kike na wa kiume waridhike na hali zao maisha yapoo!!!Utu kwanza!!
Wajifunze kukubali umaskini wao kabla ya lolote
Tatizo ukilinganisha miaka ya zamani haswa kabla ya 2010 kurudi nyuma mabinti wengi walikuwa wanajiheshimu kutokana na mafundisho ya maadili kutoka kwenye jamii zao, kwasasa unakuta wazazi wako Bize kutafuta maisha wanashindwa kukaa na watoto wao kuwaonya na wengi wa vijana wa kike wanaofanya ujinga au wenye tamaa wanatoka vijijini wakifika mjini wanataka wawe wajanja kuwazidi wa mjini hapo ndipo wanapoharibikiwa
 
Video haziingii kwenye simu?
Hujui kutisha mtu mwambie simu yake imejaza mapepo ya ngono hii inasababisha awindwe na roho ovu kutaka kuzimu roho hizi ni chafu huweza kumuingia mtu kutoka kwenye simu!,umauti unamuwinda na hapo alipo hana tofauti na shetani wote wawili watawekwa kwenye moto wa jehanam.. mashetani wameshainywa damu yake na mwili wake wameufanya Kama mkate wanajimegea tu! Yupo katika kifungo cha uasherati!.

Mwambie aache ila atahitaji maombi ya nguvu pia sadaka atoe Sana.
 
Hawa watoto wa vyuo ni hatarii kabisa. Juzi Kuna binti mmoja anasoma chuo Cha Sharia IJA lushoto. Kaleweshwa akazima jamaa aliyemlewesha akakodi boda ampeleke gesti. Kufika gesti mama was gesti kamkataa maana binti alikuwa hata kusimama hawezi nikubebwa tuu. Ikabidi Wasamalia wema tuanze kutafta maji ya baridi na kumwagia . Lakini katika kumdadisi yule kijana akakili kuwa binti hajawahi kunywa pombe ndoo mara yake ya kwanza. Basi tulipambana Sana mwagia maji ya mvua na kumnywesha mengine. Hatimaye akazinduka. Akaanza kuona aibuu. Huyo kijana mwenzie akampandisha boda akasema anamrudisha chuo. Ila kwakweli wadau mtoto alikuwa pisi kalii balaa. Tako Kama lotee yaan angekutana na wahuni wangenfanyia kitu mbaya mnooo. Nilichojifunza watoto wakifika vyuoni wanakuwa free na kudanganyana. Niltamani nimchukue video Ila huruma ilinijia kuwa wazazi wakiona wanaweza zimia au mtoto kufukuzwa chuo.
 
Ila ujue pia maranyingi Video za ngono wanao ziona ni watu wanaofuatilia mambo ya aina hiyo...namaanisha haziko easily accessible, na ujue Taasis kubwa huwa hazipambani na habari zisizo rasmi la sivyo zitakuwa kwenye kesi kila siku
Niseme tu ukweli, mimi sijawahi kukutana na hizo video pamoja na kuwa na magroup rasmi meengi tu
Usipokuwa na strong connection hata hizo video hutaziona kabisa mkuu
 
Tatizo ukilinganisha miaka ya zamani haswa kabla ya 2010 kurudi nyuma mabinti wengi walikuwa wanajiheshimu kutokana na mafundisho ya maadili kutoka kwenye jamii zao, kwasasa unakuta wazazi wako Bize kutafuta maisha wanashindwa kukaa na watoto wao kuwaonya na wengi wa vijana wa kike wanaofanya ujinga au wenye tamaa wanatoka vijijini wakifika mjini wanataka wawe wajanja kuwazidi wa mjini hapo ndipo wanapoharibikiwa
Wahanga wakubwa ni wale waliotoka vijijini na bado washamba wanapaparikia jiji na kujiona wajanja kuliko wenyeji
 
Back
Top Bottom