Yani mie unitishie shetani mkuu hahahah utachelewa sana! Shetani tunaishi nae masaa 24 yupo tu wala sio swalaπ usipomnywa utamla au kumsikiliza bila kusahau kumuwazaHujui kutisha mtu mwambie simu yake imejaza mapepo ya ngono hii inasababisha awindwe na roho ovu kutaka kuzimu roho hizi ni chafu huweza kumuingia mtu kutoka kwenye simu!,umauti unamuwinda na hapo alipo hana tofauti na shetani wote wawili watawekwa kwenye moto wa jehanam.. mashetani wameshainywa damu yake na mwili wake wameufanya Kama mkate wanajimegea tu! Yupo katika kifungo cha uasherati!.
Mwambie aache ila atahitaji maombi ya nguvu pia sadaka atoe Sana.
Tatizo lingine ni single parenting inaleta shida mtoto anakuwa hadi kufika mtu mzima hajalelewa na baba/mama yake mzazi ndio hivyo akiwa na uhuru tu anaona kila kitu ni halali kufanyaInabidi iwe hivo na wazazi wawe wanawakumbusha na kuwasisitiza kuwa makini wasijisahau
Hasa wanaooa wasiowajuaJamaa wenye mipango ya kuowa wana safari ndefu sana
Licha ya single parenting ni vizuri kumweleza Binti madhara atakayo kutana nayo akifanya ujinga, pia ni vizuri kuwa expose watoto kwA mambo classics na if possible mzazi mpe mwanao pocket money ya maana, sio kidogo wengi wanaishia kudanga tuTatizo lingine ni single parenting inaleta shida mtoto anakuwa hadi kufika mtu mzima hajalelewa na baba/mama yake mzazi ndio hivyo akiwa na uhuru tu anaona kila kitu ni halali kufanya
Acha vurugu kijana tenda wema uende zako usingoje shukurani.Oya wale niliowapa link mnaleta utoto wa kuingia kwenye group na kuleft kama chooni sasa mmewaponza wenzenu! Mtakula mlikopeleka mboga π sitaki usumbufu kabisa!
Na leo inaachiliwa ya pepsi mtu akinifata namtukana sitaki upuuzi. Nisha reset link taari!
Shukurani gani chiefπ watu wanazingua ku left kindeziAcha vurugu kijana tenda wema uende zako usingoje shukurani.
Usituseme sana sasa we si uvumilie tu wengine hatujazoea.. Kama tu hatupo kwenye magroup ya familia tunaleft huko tunachungulia tu..πShukurani gani chiefπ watu wanazingua ku left kindezi
π π π π π πUsituseme sana sasa we si uvumilie tu wengine hatujazoea.. Kama tu hatupo kwenye magroup ya familia tunaleft huko tunachungulia tu..π
Mkuu ikitoka nyengine link tafadhari ka gurupu kenu kazuri..π€£π π π π π π
Utakunywa sana Spar letta bar πMkuu ikitoka nyengine link tafadhari ka gurupu kenu kazuri..π€£
Kwahiyo sipati kisa nilileft..?Utakunywa sana Spar letta bar π
Mzee hio bahati haiji tena yani, mtanzania anaweza lia njaa ukampa gunia la mchele akaishia kukukejeli baada ya kushibaπKwahiyo sipati kisa nilileft..?
Ila sie tulioleft inaonekana hata mbinguni tutaleft..πMzee hio bahati haiji tena yani
Labda mzimu wangu utafanya hio kazi sio mimiIla sie tulioleft inaonekana hata mbinguni tutaleft..π
Mkuu acha hizo toleo jipya likija fanya Tena unyama unyamani..