UDSM mnakosa hata Solar power karne hii?

UDSM mnakosa hata Solar power karne hii?

Hata vituo vya police vingi ambavyo vipo mjini umeme ukikatika giza tele ,unaweza jiuliza maswali kwamba, nini kinawashinda hawa majaa kununua hata WAT 100 ya solar na N 70 battery na kuunganisha mwanga uwepo .Wakat huo huo majamaa yanapiga pesa ,kwenda mifukoni kwao kiaina. Kuna haya ya baadhi ya taasisi za serikali kuzibinafsisha ili kuleta ufanisi kiutendaji na kimiundo mbinu .
 
Mna vitivo vya Uhandisi, sayansi, ICT sheria ila mpaka zama hizi mnakosa Solar power project kusaidia wakati wa mgao? Mbona mnanunua V8/VX kila uchwao?
Ukishasema 'project' hizo zinafanyika sana, hasa kwa kuzingatia role tatu za any university; Teaching, Research na Consultation. Kazi ya mplementation ya 'project' huwa hasa ni ya serikali au sekta binafsi, na sio university.
 
Jamaa kadhaa nlosoma nao level tofauti za elimu,wamo vyuoni wskifundisha, masters, PhD..ndiyo nikajua kumbe wale wasomi nlokua nikiwa-adore zamani walikua hawana lolote,maana na hawa rafiki zangu bado wapumbavu tu
 
Mna vitivo vya Uhandisi, sayansi, ICT sheria ila mpaka zama hizi mnakosa Solar power project kusaidia wakati wa mgao? Mbona mnanunua V8/VX kila uchwao?

Mnakwama wapi?
**Kipi ninajivunia miaka 60 ya kuanzishwa kwenu?
Pale kuna academicians wa makaratasi na theory tu, kutunga maswali magumu ya mitiani, na kusolve matatizo ya kwenye vitabu tu,
Kipindi cha korona,tulienda kununua tank la maji, lenye mfumo wa kutoa maji na sabuni automatic, ukiweka mikono,nilichokiona ni upuuzi, mtupu, electronics iliyotumika ya chini Sana, mkitumia watu wengi, ka mfumo, kanagoma! Sasa ni kaenda Ethiopia, nikakuta hizo, system zimefungwa vyooni, electronics control card ndogo kama kiberiti, imeunganishwa na kock za maji
 
Mnapenda kuwaza mambo madogo madogo, badala ya kushangaa nchi kuwa na mgao wa umeme miaka 60 baada ya uhuru, wewe unawashangaa UDSM kukosa solar power!
Mambo madogo hupelekea mambo makubwa ndugu! Udsm ingekuwa na wagunduzi wake wa kutatua changamoto 'ndogo' kama unavyoona, mfano umeme wa nguvu ya jua, kama taifa, lisingetumia ugunduzi huo kutatua tatizo la taifa zima?

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Mna vitivo vya Uhandisi, sayansi, ICT sheria ila mpaka zama hizi mnakosa Solar power project kusaidia wakati wa mgao? Mbona mnanunua V8/VX kila uchwao?

Mnakwama wapi?
**Kipi ninajivunia miaka 60 ya kuanzishwa kwenu?
Ukitaka kupima ufanisi na maendeleo nchi hii watakuambia tunatembelea magari ya kifahari
 
Jamaa kadhaa nlosoma nao level tofauti za elimu,wamo vyuoni wskifundisha, masters, PhD..ndiyo nikajua kumbe wale wasomi nlokua nikiwa-adore zamani walikua hawana lolote,maana na hawa rafiki zangu bado wapumbavu tu
Dah!...acha dharau mkuu heshimu taaluma
 
Back
Top Bottom