grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
"Hard times create stronger people, stronger people create good times, good times create weak people and weak people create hard times".Usishangae UDSM peke yake, wale wanasayansi/wagunduzi wa Kigiriki miaka hiyo mbona miaka hii yetu hawapo? Akili ya binadamu kadiri vizazi vinapoongezeka IQ inashuka. Kuna version mbalimbali za binadamu! I'm sorry to say this.
Karne hii tume advance kwenye nyanja nyingi kupelekea matatizo tunayoyaona ya kawaida ambayo zama hizo yalikuwa makubwa tumesha yasolve hivyo tumekuwa (weak kwa sababu hakuna challenges) watu hawaumizi tena vichwa kwa sasa.