grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
"Hard times create stronger people, stronger people create good times, good times create weak people and weak people create hard times".Usishangae UDSM peke yake, wale wanasayansi/wagunduzi wa Kigiriki miaka hiyo mbona miaka hii yetu hawapo? Akili ya binadamu kadiri vizazi vinapoongezeka IQ inashuka. Kuna version mbalimbali za binadamu! I'm sorry to say this.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndio maana nikasema bongo hii degree ni utapeli na wanaitafuta hapo wanatapeliwajamaa wamejaza v8 pale parking utadhan wakala wa TOYOTA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa wamejaza v8 pale parking utadhan wakala wa TOYOTA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niipongeze UDSM kwa kuhama kutoka kuwa Jalala na Sasa imekuwa shule ya sekondari iliyochangamka.
Sasa hao wahandisi wenyewe wanataka UDSM na sio hizo ulizotaja wee.VYuo vya uhandisi tanzania ni vitatu pekee "ATC ,DIT na MUST" sawa sawa na vya afya " MUHAS , BUGANDO na KCMC" .UDSM Watu wakasome ualimu na sheria basi .
Bongo bado tuna ulimbukenu fulani hiviSasa hao wahandisi wenyewe wanataka UDSM na sio hizo ulizotaja wee.
UDSM ni maji usipooga, utayanywaa.Bongo bado tuna ulimbukenu fulani hivi
Ha ha ha hakuna chuo pale bwana hasa kozi za uhandisi na afya tusidanganyane limebaki jina tu anyway kila mtu na preference zake 😊UDSM ni maji usipooga, utayanywaa.
Au hukusoma UDSM? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ha hakuna chuo pale bwana hasa kozi za uhandisi na afya tusidanganyane limebaki jina tu anyway kila mtu na preference zake [emoji4]
Jifunze asili na tamaduni za uendeshaji wa afrikaMambo madogo hupelekea mambo makubwa ndugu! Udsm ingekuwa na wagunduzi wake wa kutatua changamoto 'ndogo' kama unavyoona, mfano umeme wa nguvu ya jua, kama taifa, lisingetumia ugunduzi huo kutatua tatizo la taifa zima?
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Hawezi kuwaza hayo, upeo wake umeishia kwenye solar panel.Nilidhani ungeshangaa mgao wa umeme karne hii wakati kila uchwao serikali inanunua magari mapya