UDSM, MUHAS & UDOM Vinashika Nafasi Tatu za juu kwa Vyuo Vikuu Kumi Bora Tanzania

Hizo asilimia umetoa wap mbna ukijumlisha inakuja watts karibu elf moja utadhani ni home theatre
 
Hapana Mkuu, sikusoma huko Maeneo ya Rombo. Nilisoma Shule Moja Kongwe ipo maeneo ya Moshi mjini.. Ni Maarufu kama Shule ya sekondari ufundi Moshi Kabla ya kwenda kusoma High school pale Moshi School Miaka hiyo!
Shukhrani Bwana Alfred nimekupata vizuri sana.
 
Hizo asilimia umetoa wap mbna ukijumlisha inakuja watts karibu elf moja utadhani ni home theatre
Bwana Angera 1, Hizo asilimia kila chuo kimepewa asilimia zake za kukubalika kulingana na chanzo husika, kwahiyo mimi nimetumia average ili kupata asilimia ya chuo husika kwa references zote nane nilizotumia katika utafiti wangu huu mdogo.
 
Kama hakuna SAUT basi hio orodha ni batili
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah
 
Wabongo bhana instute na university vyote ni vyuo vikuu tu mnacomplicate kwa iyo MIT , DIT,IAA, TIA ,IFM sio vyuo vikuu?
Ni Taasisi zinazotoa Elimu ya Juu, sio vyuo vikuu.
 
UDOM????[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Mbona tukikutana kufanya masters CPA nk hivyo ulivyotaja hatuoni wakifanya vema zaidi?
 
Bwana WAZO2010 ina maana hata leo hujaona kazi kubwa walichokifanya madaktari MUHIMBILI kutenganisha mapacha walioungana?
Chunguza. Kama huta kuta jopo lote ni Wazungu. Hawa wa kwetu huwepo kuangalia tu. Hata zile oparation za Moyo huwa ni Wazungu /Wahindi. Hawa wa Tz hata Jicho tu uki cheza unakuwa Kipofu.
 
Tukushangae wewe unayefanya conclusion kwa maoni ya mtu mmoja wa jamiiforum. Kijana uwe analytical, acha mahaba. Vyanzo vyote vya kimataifa vimerank UDSM ya kwanza na SUA ya pili, ingawa kwa upande wa utafiti SUA hana mshindani. Wewe unakuja na maoni simple ya mtu na kuanza kuishambulia SUA, pathetic.
 
Kazi sana!
Nimeandika maoni ya watu na yanaonekana kila siku mitandaoni hata mitaani pia ila ushahidi ni chuo kuwa na kozi nyingi per semester nae hazina mipangilio wa kueleweka.

Halafu mimi sio kijana tafadhali.
 
Kila mtu angeandika mawazo ya kweli kuhusu chuo basi haya mambo ya udsm,udom,sua yangeisha.

Nimesoma udsm miaka hiyo ikiwa udsm ila ukiniambia udsm leo ikoje siwezi kuanza kusifia.

Kila chuo kina eneo kiko vizuri na kwingine bado sana,SUA kuna eneo wako njema (mfano VET hata huyo Prof ni wa VET),nina staff kadhaa wa pale tunakutana huku kwenye makongamano,na wanafanya kazi kubwa,ila kuna college zimelala hakuna lolote la maana zinafanya.

Udsm pale engineering wako na kazi nzuri pia,huku CONAS bado.

Udom CIVE wako mbali sana,CNMS bado sana.

Ingewezekana tuanze kufanya ranking kwa level ya college za vyuo sio vyuo vizima utakuta tunasema chuo fulani bora huku hata maabara za kueleweka hawana mfano nenda Udom,Udsm na Sua halafu rudi na hitimisho.

Sijaandika kuhusu MUST hawa wako mbali na wanajitahidi japo wanaanza ,DIT na ATC si universities ila wako vizuri.
Z
 
Chunguza. Kama huta kuta jopo lote ni Wazungu. Hawa wa kwetu huwepo kuangalia tu. Hata zile oparation za Moyo huwa ni Wazungu /Wahindi. Hawa wa Tz hata Jicho tu uki cheza unakuwa Kipofu.
Hata mie nilijua ni waTz wanafanya hizo operation wanatangaza na kusifia sana.

Nikajua kuwa wame advance sana mana kutoka kupasua kichwa baada ya goti hadi kufikia operation kubwa hivi, chini ya carpet sikuyajua hayo.
Yani wanakua watazamaji tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…