scenero tuliopewa wakati tunaanza masomo ya mwaka wa kwanza.
kibaka mmoja alitamani kumwibia jirani yake mwafrika wa kike radio kubwa. saa mbili usiku akaamua kuchoma moto nyumba ya Mr. Shy ambaye ni jirani wa Mwafrila wa kike ili familia nzima ya mwafrika wa kike wakurupuke kwenda kuzima moto ili na yeye aweze kufanikisha azma ya kuingia kwa mwafrika wa kike.
baada ya shy kupiga kelele kweli familia mzima ya mwafrika wa kike wakakurupuka na kuacha nyumba wazi, na hivyo kibaka aliingia na kukwapua radio hiyo, na bahati mbaya au mzuri akakutana na memba mmoja wa nyumba ya mwafrika wa kike ambaye alipiga mayowe mwizi, mwizi mwizi! mpaka wakakusanyika. kwa sababu alijulikana sana kuwa na tabia hiyo, alipigwa mpaka akakiri kuwa ndiye aliyechoma nyumba ya jirani yake.
hasira zilimpanda Mwafrika wa kike na hivyo kuchukua panga na kumchop mkono wake na hivyo damu zikaanza kuchiririzika.
mwafrika wa kike alienda kuriport hilo tukio mahakamani kesho yake baada ya kuwa tayari ameishafariki.
tuliomba kutoa hukumu; wengi sana tulijikanyaga sana, ila kwa sababu hii scenerio ilikuwa ni hukumu ya kesi hapa tanzania jibu lilikuwa hivi!!
koti ilimkuta na hatia ya mauaji kwa sababu baada ya kumkamata na radio angeweza kumpeleka mahakamani, pili hata kama alimkata kwa hasira 'fragrento delicto' bado angeweza kumkimbiza hospitali wakati akiona damu zinachiririzika, na kitendo cha kwenda kuliport hicho kifo na tukio kesho yake bado kilionyesha kuwa alishadhamilia yule mtu afe.
principle of laws
1. the ignorance of the law is no defence. swala sikujua utaratibu wa chuo haukubaliki, labda sababu zenye upana zinahitajika.
2.mwanzirishi wa kupelekea kutendeka kwa kosa anaandamwa ili mradi tu kusiwepo na kizuizi chochote cha chain of action. swali hapa likolikely, je yule mama alikuwa anaandamana naye na hiyo afya yake? kama ndio then volent non fit injuria inaweza kutumika kuwa amesababisha, au kama alilazimishwa na hao waandamanaji basi kesi inarudi kwa huo waandamanaji, kama mkandala aliagiza kuwa ua mtu yeyote anyejitokeza basi mkandala ana kesi ya kujibu, ila kama polisi walikuwa wanajiami basi hamna hatia, self defence, na kama walifanya kimakosa basi mapolice watakuwa liable, mbona makosa yamekuwa yakifanyika iraq na u.s armies na hakuna kitu kinachoendelea?
ila sasa kuwepo kwa FFU chuoni na kwenyewe kuko kwenye reasonability ya namna hiyo
wote tulishuhudia vyombo vya habari vikituonyesha wanafunzi na ndevu zao wakipigwa kutoka madarasani ambapo watoto wao walikuwa wanawaangalia kupitia Runinga.......bado chuo kinaweza kusma kuwa FFU walikuja kurescue hao jamaa. pili tuliona maktaba zikiwa zimefungwa na utawala ukiwa umezingirwa, je ulitaka watoke vipi?
unajua tusiwe watu wa haraka kusema hoo, anayepinga huu mgomo ana chuki binafsi, wote tunareasons tofauti na hiyo lazima iwe. we should reason beyond ili mtu asije akajuta baadaye kwa taarifa anazozitoa.
I am always smart. i sy no to what is no. mimi nilishaongoza mgomo na inawezekana zaidi ya huu, ndio maana ushauri wangu ninaweza kusema huu mgomo utafanikiwa au la. any way reasoning ni tofauti.
ila hata akina lennin na Marx waliheshimiana ingawa walitofautiana hata paul na Petro baada ya kifo cha yesu walitofautiana kuhusu circumcision waliheshimiana, hata suni na shia hapa tanzania wanaheshimiana ingawa wanatofautiana kiimani.