Xhuo chenye professors zaidi ya 100 na ma dr. Zaidi ya 300 kimeshindwa kujitafutia solution ya kudumu ya maji ambayo ni hitajinla lazima la binadamu..Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji hali iliyosababisha karibu vyoo vyote vya umma kufungwa, jambo linalowaacha wanafunzi zaidi ya 15,000 katika mazingira hatarishi kiafya.
Wangetakiwa wawe na vyoo vya shimo kama Secondary, ni mwendo wa toilet paper, karatasi na magunzi tu😁Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji hali iliyosababisha karibu vyoo vyote vya umma kufungwa, jambo linalowaacha wanafunzi zaidi ya 15,000 katika mazingira hatarishi kiafya.
Wagalatia hamna hoja udini umewajaaWakachukue maji msikitini kwa HAYA LAND HOV na adriz
Hiyo changamoto ya chuo elimu yao haiwasaidii kutatua changamotoWakachukue maji msikitini kwa HAYA LAND HOV na adriz
Yoooooh, this 🙌Hapo udsm si ndo pale jalalani kwa maccm?
JalalaniChuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji hali iliyosababisha karibu vyoo vyote vya umma kufungwa, jambo linalowaacha wanafunzi zaidi ya 15,000 katika mazingira hatarishi kiafya.
VX zinapumua Tu paleKwani Udsm haiwezi kuchimba visima vyake, Ikawa inajitosheleza yenyewe?
[SIZE=7]Amani ni tunu yetu tuilinde kwa wivu mkubwa sana[/SIZE]