Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji hali iliyosababisha karibu vyoo vyote vya umma kufungwa, jambo linalowaacha wanafunzi zaidi ya 15,000 katika mazingira hatarishi kiafya.
Ni choo kimoja tu chenye maji kwa leo, ilhali siku zote hapakuwa na maji kabisa. Hata hivyo, maji yaliyopo ni machache sana (yamewekwa kwenye majaba) kiasi kwamba hayawezi kukidhi matumizi ya idadi kubwa ya wanafunzi wa UTI (nje nje).
🤣🤣Hapo udsm si ndo pale jalalani kwa maccm?
Matoleo ya hivi karibuni kabisa 🤣VX zinapumua Tu pale
Shangaa mkuu.Hicho chuo kinakuwaga na wajinga
Wanakosaje backup ya Maji
Ikiwa misikiti Ina Maji yake ya visima vipi chuo kinachoingiza mamilion ya pesa
🤣🤣🤣Labda ni vita ya kiuchumi mabeberu wanahujumu vyuo vyetu.
AhaaaaShangaa mkuu.
Misikitini maji yapo, ila Chuo kikubwa nchini mpaka nje hakina maji
Bongo hatarii...akili zetu tunazijuwa wenyewe...Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji hali iliyosababisha karibu vyoo vyote vya umma kufungwa, jambo linalowaacha wanafunzi zaidi ya 15,000 katika mazingira hatarishi kiafya.
Ni choo kimoja tu chenye maji kwa leo, ilhali siku zote hapakuwa na maji kabisa. Hata hivyo, maji yaliyopo ni machache sana (yamewekwa kwenye majaba) kiasi kwamba hayawezi kukidhi matumizi ya idadi kubwa ya wanafunzi wa UTI (nje nje).
Mkuu nawapongeza Kwa hili Misikitini maji ni uhakikaWagalatia hamna hoja udini umewajaa
Oya 🤣Choo changu huku manzese kiko vizuri
View attachment 3517646
Ni aibu kubwa sana na fedheha kwa chuo kama UDSM kushindwa kuwa na kisima kirefu cha kutosheleza mahitaji yake yenyewe.Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji hali iliyosababisha karibu vyoo vyote vya umma kufungwa, jambo linalowaacha wanafunzi zaidi ya 15,000 katika mazingira hatarishi kiafya.
Ni choo kimoja tu chenye maji kwa leo, ilhali siku zote hapakuwa na maji kabisa. Hata hivyo, maji yaliyopo ni machache sana (yamewekwa kwenye majaba) kiasi kwamba hayawezi kukidhi matumizi ya idadi kubwa ya wanafunzi wa UTI (nje nje).
Duh!..mbona mnawabagaza hivyo wataalamu wenu?..Maajabu haya mkuu,,halafu utaambiwa hapo kuna wahandisi wa maji na WA miamba
...ila kuchimba kisima kiwasaidie hawawezi,
Walahi tumerogwa!!!