The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Hii CV ya mchongo. Hakusoma DSJ kama ulivyoandika. Yeye mwenyewe kwa mkono wake kaandika Tanzania of Journalism. Hakuna proof reading yaani inapitishwa hivyo hivyo. Ndo maana wenzetu wanatushangaa kwa hii miujiza.Hata diploma kaiga mwaka mmoja tu 1981-1981 pale DSJ. hatari sana
Nadhani UDSM utawaonea bure, huyo Tarimba atakuwa kajiandikia uongo mwenyewe tu, ila kwa kuwa ni mbunge hakuna wa kumuuliza wala kumwajibisha.UDSM wamepigapigaje hapa kwa Tarimba Abbas, aliwezaje kusoma degree na masters ndani ya miaka miwili tu?
Nchi ya ******* sana hii......nchi imeoza hii masikitiko.
Hio ndio ukisikiaga ANA ELIMU YA HAPA NA PALE😁🤣Web admin wa website ya bunge achunguzwe.