Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 7,310
- 13,098
Ni huzuni kweri kweri
Awards 😂😂😂Wakuu
Wasifu wa mbunge wa Kinondoni Tarimba Gulam Abbas katika tovuti ya bunge unaonesha alitumia miaka miwili tu, 2010 na 2011 kupata degree pamoja na master's ya sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam.
Hii inawezekanaje, wakati kwa kawaida tunafamu degree peke yake si chini ya miaka mitatu? Hapo Tarimba amepiga miaka miaka miwili na masters juu, Hii ni fedheha kwa chuo kikongwe kama UDSM.
Ukiachana na chuo lakini hata ngazi zingine zote amesoma mwaka mmoja mmoja, jambo linalotia shaka juu ya safari yake kwenye elimu na taaluma kwa ujumla.
View attachment 3352019
Mzee Ubunge wapi mwaka huu au kwa Gwajima ?Awards 😂😂😂
Na miaka aliyosoma sekondari haipo/haijulikani.Wakuu
Wasifu wa mbunge wa Kinondoni Tarimba Gulam Abbas katika tovuti ya bunge unaonesha alitumia miaka miwili tu, 2010 na 2011 kupata degree pamoja na master's ya sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam.
Hii inawezekanaje, wakati kwa kawaida tunafamu degree peke yake si chini ya miaka mitatu? Hapo Tarimba amepiga miaka miaka miwili na masters juu, Hii ni fedheha kwa chuo kikongwe kama UDSM.
Ukiachana na chuo lakini hata ngazi zingine zote amesoma mwaka mmoja mmoja, jambo linalotia shaka juu ya safari yake kwenye elimu na taaluma kwa ujumla.
View attachment 3352019
Nitaenda kwa Tarimba Kinondon 😂😂Mzee Ubunge wapi mwaka huu au kwa Gwajima ?
Kamdomo.....Tukale wapi, mbona mnatuchunguza sana
Unajua magu naye alisoma kwa kuunga unga?Mama abdul nae amesoma kwa kuunga unga
Mapambano ya kutafuta ugaliUnajua magu naye alisoma kwa kuunga unga?
Alivyomaliza kidato Cha sita, alikwenda kusoma diploma ya elimu huku akichagua Chemistry kama somo la kufundisha?
Mimi nilisoma kipindi hicho sijawahi kutana nae classWakuu