Naona kuna haja ya kufuatilia elimu za watu vizuri kuanzia chekechea hadi Masters +. Uozo wa nchi hii umepitiliza mno.Wakuu
Wasifu wa mbunge wa Kinondoni Tarimba Gulam Abbas katika tovuti ya bunge unaonesha alitumia miaka miwili tu, 2010 na 2011 kupata degree pamoja na master's ya sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam.
Hii inawezekanaje, wakati kwa kawaida tunafamu degree peke yake si chini ya miaka mitatu? Hapo Tarimba amepiga miaka miaka miwili na masters juu, Hii ni fedheha kwa chuo kikongwe kama UDSM.
Ukiachana na chuo lakini hata ngazi zingine zote amesoma mwaka mmoja mmoja, jambo linalotia shaka juu ya safari yake kwenye elimu na taaluma kwa ujumla.
View attachment 3352019
TULETEE HIZO TAARIFA ZA MAGU AISEE..Unajua magu naye alisoma kwa kuunga unga?
Alivyomaliza kidato Cha sita, alikwenda kusoma diploma ya elimu huku akichagua Chemistry kama somo la kufundisha?
Kwamba unakataa hakusoma diploma ya Ualimu?TULETEE HIZO TAARIFA ZA MAGU AISEE..
Hapana kuna sehemu pameandikwa "aliung unga"...na maana ya kuunga unga duu haya bhanaKwamba unakataa hakusoma diploma ya Ualimu?
Vijana na wasomi waliomaliza form six moja kwa moja na kufaulu au kufikisha cut points za kujiunga na kozi Fulani huamini wao ndio wenye akili na wamekwenda moja kwa moja.Hapana kuna sehemu pameandikwa "aliung unga"...na maana ya kuunga unga duu haya bhana
Rushwa tupuWakuu
Wasifu wa mbunge wa Kinondoni Tarimba Gulam Abbas katika tovuti ya bunge unaonesha alitumia miaka miwili tu, 2010 na 2011 kupata degree pamoja na master's ya sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam.
Hii inawezekanaje, wakati kwa kawaida tunafamu degree peke yake si chini ya miaka mitatu? Hapo Tarimba amepiga miaka miaka miwili na masters juu, Hii ni fedheha kwa chuo kikongwe kama UDSM.
Ukiachana na chuo lakini hata ngazi zingine zote amesoma mwaka mmoja mmoja, jambo linalotia shaka juu ya safari yake kwenye elimu na taaluma kwa ujumla.
View attachment 3352019
Bora msukuma anasema wazi kuwa ni la 7BSitaji jina
Ila Elimu yake ipo hivi:
Year Level School Award
2011-2011 Masters UDSM Cert. of law
2011-2011 Bachelor UDSM Cert. of Law
2008-2008 Cert. International Cert.
Gaming Inst. Nevada
2007-2007. Diploma Netherlands. Diplom
1981-1981. Diploma Benin
Hivi kwa nini mtu aweke wasifu wa namna hii ambao unaonekana kabisa kuwa ni uongo?
Ifike mahali kila mtu ajiamini na elimu aliyonayo as long katiba inakuruhusu kuwa kiongozi hata wa level ya juu kabisa ilimradi ujue kusoma na kuandika.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hizi certificate za kubeti yuko sahihi na ndio maana yuko sportpesa 🤣🤣🤣🤣Wakuu
Wasifu wa mbunge wa Kinondoni Tarimba Gulam Abbas katika tovuti ya bunge unaonesha alitumia miaka miwili tu, 2010 na 2011 kupata degree pamoja na master's ya sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam.
Hii inawezekanaje, wakati kwa kawaida tunafamu degree peke yake si chini ya miaka mitatu? Hapo Tarimba amepiga miaka miaka miwili na masters juu, Hii ni fedheha kwa chuo kikongwe kama UDSM.
Ukiachana na chuo lakini hata ngazi zingine zote amesoma mwaka mmoja mmoja, jambo linalotia shaka juu ya safari yake kwenye elimu na taaluma kwa ujumla.
View attachment 3352019
Tokea bahati nasibu taifa huyoooHizi certificate za kubeti yuko sahihi na ndio maana yuko sportpesa 🤣🤣🤣🤣
Mwanakinondoni mwenzioMzushi yule
Ova
Nchi inajivunia kama chuo namba moja bora na kikongwe tunachotegemea kisiwe na ubabaishaji kama huuMkuu kwani UDSM kuna nini so special cha kushangaza?....tuseme tu ukweli.
UDSM hii aliyosoma mwijaku akagraduate ama ni nyingine?🤣🤣🤣
Kuna upigaji mwingiNaona kuna haja ya kufuatilia elimu za watu vizuri kuanzia chekechea hadi Masters +. Uozo wa nchi hii umepitiliza mno.