Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
Hakuna Uchaguzi Ila CCM CV Huwa Wananjunga SanaWeb admin wa website ya bunge achunguzwe.

Sasa Hapo kaungaje mkuu...ukimaliza Six unaweza enda Degree au diplomaUnajua magu naye alisoma kwa kuunga unga?
Alivyomaliza kidato Cha sita, alikwenda kusoma diploma ya elimu huku akichagua Chemistry kama somo la kufundisha?
SAWA na Ile PhD ya Saa100Wakuu
Wasifu wa mbunge wa Kinondoni Tarimba Gulam Abbas katika tovuti ya bunge unaonesha alitumia miaka miwili tu, 2010 na 2011 kupata degree pamoja na master's ya sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam.
Hii inawezekanaje, wakati kwa kawaida tunafamu degree peke yake si chini ya miaka mitatu? Hapo Tarimba amepiga miaka miaka miwili na masters juu, Hii ni fedheha kwa chuo kikongwe kama UDSM.
Ukiachana na chuo lakini hata ngazi zingine zote amesoma mwaka mmoja mmoja, jambo linalotia shaka juu ya safari yake kwenye elimu na taaluma kwa ujumla.
View attachment 3352019
Hii nchi inapitia mengi sana.Wakuu

Kutoka form six ilitakiwa anyoshe kwenye degree badala yake kaporomoka kwenye diploma.Sasa Hapo kaungaje mkuu...ukimaliza Six unaweza enda Degree au diploma
Unga unga MWANA.Elimu zake zote kuanzia diploma mpaka masters ni mwaka mmoja mmoja na huko chini primary na secondary ndio hajulikani alisoma wapi......nchi imeoza hii masikitiko.
Ndomana wakenya wanasema IQ ya wa-TZ iko chini kama ya KITIMOTO...Wakuu
Wasifu wa mbunge wa Kinondoni Tarimba Gulam Abbas katika tovuti ya bunge unaonesha alitumia miaka miwili tu, 2010 na 2011 kupata degree pamoja na master's ya sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam.
Hii inawezekanaje, wakati kwa kawaida tunafamu degree peke yake si chini ya miaka mitatu? Hapo Tarimba amepiga miaka miaka miwili na masters juu, Hii ni fedheha kwa chuo kikongwe kama UDSM.
Ukiachana na chuo lakini hata ngazi zingine zote amesoma mwaka mmoja mmoja, jambo linalotia shaka juu ya safari yake kwenye elimu na taaluma kwa ujumla.
View attachment 3352019
Primary haijulikani kasoma wapiHuyo kwa kifupi ana elimu ya Cheti tu. Hana Degree wala Diploma.
Hizo zote unazoziona hapo ni zugazuga. CCM wamejaa matapeli watupu kuanzia Rais, Mawaziri hadi Wabunge ni elimu ya hoehae na kuunga unga tu.
UDSM hawana short courses degreeLabda ni short course
Wote unga unga mwanaMama abdul nae amesoma kwa kuunga unga
Sasa kwanini asijikubali akaandika ukweli kwamba hajasoma, kilichomfanya adanganye nini na sifa ya ubunge ni kujua kusoma na kiandika?Mtu kama Tarimba unamuona na mihela yake na deals zake mjin unaanza kuhoji elimu yake?
Yaani wewe uliyesoma vizur kabisa na huna hata mia mfukoni di ndio utueleze hiyo elimu uliyonayo ni elimu au uchafu?
🤣🤣🤣🤣🤣Hii nchi inapitia mengi sana.
Fikiria mtu amesomea gaming and slotting na lotteries halafu anapewa ubunge!
Halafu kila ngazi ya elimu anasoma mwaka mmoja mmoja tu.