DOKEZO Responded UDSM wamepigapigaje hapa kwa Tarimba Abbas, aliwezaje kusoma degree na masters ndani ya miaka miwili tu?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wakuu

Wasifu wa mbunge wa Kinondoni Tarimba Gulam Abbas katika tovuti ya bunge unaonesha alitumia miaka miwili tu, 2010 na 2011 kupata degree pamoja na master's ya sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam.

Hii inawezekanaje, wakati kwa kawaida tunafamu degree peke yake si chini ya miaka mitatu? Hapo Tarimba amepiga miaka miaka miwili na masters juu, Hii ni fedheha kwa chuo kikongwe kama UDSM.

Ukiachana na chuo lakini hata ngazi zingine zote amesoma mwaka mmoja mmoja, jambo linalotia shaka juu ya safari yake kwenye elimu na taaluma kwa ujumla.
View attachment 3352019
Hivi Bachelor/Master degree award ni certificate?
 
Kigezo cha kujua kusoma na kuandika kifutwe mara moja ni upumbavu wa kiwango cha lami kama taifa kuwaacha vilaza kuwa wabunge na kutuamulia mambo ya muhimu.
Na degree iwe moja ya kigezo cha muhimu mtu kuwa mbunge.
 
Unajua magu naye alisoma kwa kuunga unga?

Alivyomaliza kidato Cha sita, alikwenda kusoma diploma ya elimu huku akichagua Chemistry kama somo la kufundisha?
Kwenda Diploma sio kuungaunga mkuu.
Magufuli CV yake inaeleweka kabisa kuanzia Shule ya msingi hadi PH D.
Level zote ndani ya nchi
 
Wakuu

Wasifu wa mbunge wa Kinondoni Tarimba Gulam Abbas katika tovuti ya bunge unaonesha alitumia miaka miwili tu, 2010 na 2011 kupata degree pamoja na master's ya sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam.

Hii inawezekanaje, wakati kwa kawaida tunafamu degree peke yake si chini ya miaka mitatu? Hapo Tarimba amepiga miaka miaka miwili na masters juu, Hii ni fedheha kwa chuo kikongwe kama UDSM.

Ukiachana na chuo lakini hata ngazi zingine zote amesoma mwaka mmoja mmoja, jambo linalotia shaka juu ya safari yake kwenye elimu na taaluma kwa ujumla.
View attachment 3352019
Hiyo ni betting style
 
Admin tunaomba uzi wa speech ya Gwajimanization leo🙏Tupate kuhabarishwa alichosema jumapili ya leo.
 
Diploma "Netherlands" alafu 0-0 secondary school?? Hizi elimu za kuunga unga na degree za kikuda🚮
 
Mtu kama Tarimba unamuona na mihela yake na deals zake mjin unaanza kuhoji elimu yake?

Yaani wewe uliyesoma vizur kabisa na huna hata mia mfukoni di ndio utueleze hiyo elimu uliyonayo ni elimu au uchafu?
Hoja sio kuhoji...Kwa nini asiwe mkweli? Mbona Msukuma ni mkweli na elimu yake...Hapo ndio shida!
 
Wakuu

Wasifu wa mbunge wa Kinondoni Tarimba Gulam Abbas katika tovuti ya bunge unaonesha alitumia miaka miwili tu, 2010 na 2011 kupata degree pamoja na master's ya sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam.

Hii inawezekanaje, wakati kwa kawaida tunafamu degree peke yake si chini ya miaka mitatu? Hapo Tarimba amepiga miaka miaka miwili na masters juu, Hii ni fedheha kwa chuo kikongwe kama UDSM.

Ukiachana na chuo lakini hata ngazi zingine zote amesoma mwaka mmoja mmoja, jambo linalotia shaka juu ya safari yake kwenye elimu na taaluma kwa ujumla.

Pia soma: Kwahiyo Bunge mnatuambia Tarimba alisomba Cheti, Diploma na Degree kwa wakati mmoja? Ile Masters imeenda wapi?

View attachment 3352019
Wamebadilisha wameweka miaka mitatu 2010 2013 lakini diploma ni hivyo hivyo mwaka mmoja mmoja
 
Wakuu

Wasifu wa mbunge wa Kinondoni Tarimba Gulam Abbas katika tovuti ya bunge unaonesha alitumia miaka miwili tu, 2010 na 2011 kupata degree pamoja na master's ya sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam.

Hii inawezekanaje, wakati kwa kawaida tunafamu degree peke yake si chini ya miaka mitatu? Hapo Tarimba amepiga miaka miaka miwili na masters juu, Hii ni fedheha kwa chuo kikongwe kama UDSM.

Ukiachana na chuo lakini hata ngazi zingine zote amesoma mwaka mmoja mmoja, jambo linalotia shaka juu ya safari yake kwenye elimu na taaluma kwa ujumla.

Pia soma: Kwahiyo Bunge mnatuambia Tarimba alisomba Cheti, Diploma na Degree kwa wakati mmoja? Ile Masters imeenda wapi?

View attachment 3352019
Hatari aise
 
Tanzania, ukiwa na pesa unanunua chochote kasoro uhai. Tafuta pesa, waza, pesa, kimbiza pesa. Umewahi kuamini Diamond waheshimiwa kadhaa wanataka kupiga naye picha ? Na Hana la maana alilo nalo zaidi ya pesa.
 
Huyu alipata vipi kazi na kuwa DG wa gaming board
 
Duu! Nahisi kutakuwa na makosa ya kiuchapaji hasa kwa hiyo tovuti ya bunge
 
Back
Top Bottom