DOKEZO Responded UDSM wamepigapigaje hapa kwa Tarimba Abbas, aliwezaje kusoma degree na masters ndani ya miaka miwili tu?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wakuu

Wasifu wa mbunge wa Kinondoni Tarimba Gulam Abbas katika tovuti ya bunge unaonesha alitumia miaka miwili tu, 2010 na 2011 kupata degree pamoja na master's ya sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam.

Hii inawezekanaje, wakati kwa kawaida tunafamu degree peke yake si chini ya miaka mitatu? Hapo Tarimba amepiga miaka miaka miwili na masters juu, Hii ni fedheha kwa chuo kikongwe kama UDSM.

Ukiachana na chuo lakini hata ngazi zingine zote amesoma mwaka mmoja mmoja, jambo linalotia shaka juu ya safari yake kwenye elimu na taaluma kwa ujumla.
View attachment 3352019
Inaonekana watu wa data entry kipengele sana bungeni.
 
Wewe achana na huyu jamaa, ni mtoto wa mjini kitambo tu.
 
mwamba ana degree za lottery na kubeti kama zote, si ndo mmiliki wa SportsPesa TZ huyu?
 
Wakuu

Wasifu wa mbunge wa Kinondoni Tarimba Gulam Abbas katika tovuti ya bunge unaonesha alitumia miaka miwili tu, 2010 na 2011 kupata degree pamoja na master's ya sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam.

Hii inawezekanaje, wakati kwa kawaida tunafamu degree peke yake si chini ya miaka mitatu? Hapo Tarimba amepiga miaka miaka miwili na masters juu, Hii ni fedheha kwa chuo kikongwe kama UDSM.

Ukiachana na chuo lakini hata ngazi zingine zote amesoma mwaka mmoja mmoja, jambo linalotia shaka juu ya safari yake kwenye elimu na taaluma kwa ujumla.
View attachment 3352019
Soma hapo kwenye awards, ni Certificate of Law, no masters wala degree. Wabunge wengi hawapendi kujitambulisha na sifa ya kwanza ya kujua kusoma na kuandika.

Wanaweka CV ya kuungaunga, next time watatoa zote zisiwe public na watu kuzipata kama hivi.
 
Wakuu

Wasifu wa mbunge wa Kinondoni Tarimba Gulam Abbas katika tovuti ya bunge unaonesha alitumia miaka miwili tu, 2010 na 2011 kupata degree pamoja na master's ya sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam.

Hii inawezekanaje, wakati kwa kawaida tunafamu degree peke yake si chini ya miaka mitatu? Hapo Tarimba amepiga miaka miaka miwili na masters juu, Hii ni fedheha kwa chuo kikongwe kama UDSM.

Ukiachana na chuo lakini hata ngazi zingine zote amesoma mwaka mmoja mmoja, jambo linalotia shaka juu ya safari yake kwenye elimu na taaluma kwa ujumla.
View attachment 3352019
Mkuu kwani UDSM kuna nini so special cha kushangaza?....tuseme tu ukweli.

UDSM hii aliyosoma mwijaku akagraduate ama ni nyingine?🤣🤣🤣
 
Wakuu

Wasifu wa mbunge wa Kinondoni Tarimba Gulam Abbas katika tovuti ya bunge unaonesha alitumia miaka miwili tu, 2010 na 2011 kupata degree pamoja na master's ya sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam.

Hii inawezekanaje, wakati kwa kawaida tunafamu degree peke yake si chini ya miaka mitatu? Hapo Tarimba amepiga miaka miaka miwili na masters juu, Hii ni fedheha kwa chuo kikongwe kama UDSM.

Ukiachana na chuo lakini hata ngazi zingine zote amesoma mwaka mmoja mmoja, jambo linalotia shaka juu ya safari yake kwenye elimu na taaluma kwa ujumla.
View attachment 3352019
We bwege certificate inasomws kwa muda gani,
 
Sio huyu tu.
Namtilia mashaka pia steven Wasira.
yupo Serikalini mfululizo toka mwaka 1966....hizo degree zake alisoma lini....au ni honary degrees.

Mara aseme alisoma Havard marekani.
Nafikiri ni mwendelezo huohuo wa ma-forgery yao.
 
Wakuu

Wasifu wa mbunge wa Kinondoni Tarimba Gulam Abbas katika tovuti ya bunge unaonesha alitumia miaka miwili tu, 2010 na 2011 kupata degree pamoja na master's ya sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam.

Hii inawezekanaje, wakati kwa kawaida tunafamu degree peke yake si chini ya miaka mitatu? Hapo Tarimba amepiga miaka miaka miwili na masters juu, Hii ni fedheha kwa chuo kikongwe kama UDSM.

Ukiachana na chuo lakini hata ngazi zingine zote amesoma mwaka mmoja mmoja, jambo linalotia shaka juu ya safari yake kwenye elimu na taaluma kwa ujumla.
View attachment 3352019
Hamna kitu apo
 
Back
Top Bottom