UEFA champions league 2022/23 quarter final draw prediction

Liver na arsenal, arsenal na man,robo mkiingia wengi nchi moja mnakutanishwa tu,itakua imeanza kuangalia mpira ulaya hivi karibuni
Ila watu bhana kwani huezi toa hoja yako simplify bila kuanza ooh sijui mpira umeanza kuona juzi πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Ikitokea wanapangwa team kutoka ligi moja, mfano Napoli na Ac Milani mi siangalii πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Sitaki pia kubishana na watu kila mtu asimamie na anachoamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…