UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

mimi tena ni Yanga damu damu,tokea enzi za utoto nikiwa na miaka sita tu yaani nilikuwa sitoki kwenye radio,nachukua karatasi nandika list ikiwa inatajwa,number moja Steven Nemesi,mbili Abuubakari "Salum sure boy",tatu Keneth Mkapa,nne Godwin Aswile,tano Salum kabunda "Ninja",sita Issa Athuman,saba Sanifu Lazaro "Tingisha",nane Athuman China,tisa Nteze John,kumi Saidi Mwanza "Kizota",kumi na moja Edibily Lunyamila.
*Said Mwamba Kizota
 
Nawasikitikia hawa majirani zetu wenye chuki na sisi(R.Madrid) ambao wamehamia Atletiço Madrid kwa mkopo leo. Kuwa mpaka ikifika 23:59 leo tayari watakuwa wanalia[emoji24] [emoji24] na wataiona hii thread kama jela vile.. saa hyo sisi tumenyanyua juu[emoji471]

Cc: The PNC, Mussolin5
 
Back
Top Bottom