Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
- Thread starter
- #61
tuko pamoja mkuuVijana wa atletico wako fit sana niko nyuma yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuko pamoja mkuuVijana wa atletico wako fit sana niko nyuma yao
Mwaka wako huu, utafungwa ad ufurahisubirieni vilio
soma juu kabisa ya uziWakuu sehemu niliyopanga kuwepo leo muda game wana king'amuzi cha Azam na kifurushi cha 15000/- , je nitaweza kuona game ? Naomba mnijuze ili Kama siwezi kuona hapo nibadilishe kambi.
Tafadhali msaada
Tutafsirie kidogo, maana niko mbali na Ras SimbaLo que va a pasar en Milan.......se queda en Madrid......
*Said Mwamba Kizotamimi tena ni Yanga damu damu,tokea enzi za utoto nikiwa na miaka sita tu yaani nilikuwa sitoki kwenye radio,nachukua karatasi nandika list ikiwa inatajwa,number moja Steven Nemesi,mbili Abuubakari "Salum sure boy",tatu Keneth Mkapa,nne Godwin Aswile,tano Salum kabunda "Ninja",sita Issa Athuman,saba Sanifu Lazaro "Tingisha",nane Athuman China,tisa Nteze John,kumi Saidi Mwanza "Kizota",kumi na moja Edibily Lunyamila.
mpira dk 90Mwaka wako huu, utafungwa ad ufurahi
Tutafsirie kidogo, maana niko mbali na Ras Simba
Tatizo ww PNC 1 ana kupotoshampira dk 90
Typing error*Said Mwamba Kizota
Baba umepotea uko, azan uwa wanaonesha la liga tuu
Ile ni UEFA tafta kambi ingne
Mimi nitatembea uchi kwanzia hapa Jamii forum mpaka Instagram
Sasa hapo ni Real ama Atletico?Halla Madrid
Duuuh, leo tuna pinganaAll the best AM.....
Huku michepukoni siyo Mbaya kupingana [emoji3]Duuuh, leo tuna pingana