UEFA champions league : Coincidence au ni kweli dunia inaendeshwa na binadamu..

2005 mchezaji wa Liverpool aliyekuwa anavaa jezi no 10 alilazimisha kuuzwa Spain Michael owen
2018 mchezaji wa liverpool aliyevaa jezi no.10 amelazimisha kuuzwa spain..nae ni Philipe Coutinho
Hatari sana
 
Usiamin kila unachoona kwenye mtandao mkuu!!

Umesema nitumie utashi, baada ya kutumia utashi nimeona unapiga ramli...
Sasa wapi amesema anaamini?,Yeye ameleta matukio yaliyotokea kabla ya finali mbalimbali za UEFA kufanyika.Wewe unatakiwa useme hayo matukio ni ya uongo au hayahusiani kwa kuleta facts.
 
Timu za kumshinda liverpool zilishatolewa zote na Madrid plus na ile iliyotolewa na Roma pia, unabisha?
Hio deep web naingiaje mkuu?
Una VPN ? Km yes download Duck Duck Go kisha zama huko,utakayo yaaona Baki nayo moyoni Mkuu kumbe na wewe unazamaga deep web?
 
Kwa hiyo unatuambiaje wazee wa kubet,tuiwekee mzigo wa kutosha anfield wanderers?
 

Dah, yan mkuu upo sahihi kabisa yan hii dunia kuna watu wanatuzunguka wanafanya matukio yawe kweli, hata matukio makubwa kama vita hupangwa kutokea nakubaliana na wewe mkuu.Ni kweli papa ana ushawishi mkubwa sana katika mabadiliko ya hii dunia.
 
Mipango, mipango, mipango.
Huwa hakunagana automatic coincidences, ni mipango kwa kwenda mbele.
 
Asante mkuu , binafsi ninaamin conspiracy theory kwasababu hazikosei...... Kuna yule mchezaji wa Arsenal alikua akifunga goli tu basi kuna tukio kubwa linafuatwa on the same day .

Iman yangu pia inakuja, miaka michache nyuma UEFA ilivyotuhumiwa kua wanamapanga matokeo ya mechi .........


Kwa hili pia inabidi nilikubal,, Ingawa katika kufikiria kwangu naliona km matokeo atapewa Madrid kwaajil ya kumlinda Zidane......... Au ndo maana wanampa Mohamed Salah matangazo makubwa makubwa???? .

Tusisahau kuna matajiri uko wanabet mamilion ya pesa.
 
Dunia inaendeshwa na Watu (Shetani) sababu ndio Muda wake huu. So hakuna coicedence bali ni watu Wanapanga.
 
Hapa wanamuongelea wa sasa
Yaani Liverpool wanachukuaga ubingwa kukiwa na papa mpya
2005 papa alikuwa benedicto
2018 kuna papa mpya yaani francis (yaani lazima kuwe na tukio la Papa na ubingwa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…