UEFA champions league : Coincidence au ni kweli dunia inaendeshwa na binadamu..

UEFA champions league : Coincidence au ni kweli dunia inaendeshwa na binadamu..

Na mwaka 2005 fainali ya FA ilikuwa timu ya London vs Manchester utd...na man u alifungwa
2018 Fainali ya FA ilikuwa timu ya london vs Mancheter utd na Man U amefungwa jana.
Na mwaka 1981 fainali ilkua ni Tottenham vs man city..spurs akawa bingwa..
 
Halafu kuna mshkaji wangu mmoja alinambia Liver ni timu pendwa ya malkia wa Uingereza, sasa nikiunganisha haya matokeo, kweli Napata shida sana kudhani kwamba eti vitu hua vinatokea kwa jitihada, hpe vitu hutokea kwa mipango ya watu wengine kabisa ambao wala sio wahusika
 
Ndo utakapoona kuna ukwel juu ya secret society juu ya kuongoza matukio yote yanayotokea juu ya uso wa dunia!

Na hii society wamebase kwenye vitu vinavyopendelewa na kuftwatiliwa na watu wengi ikiwemo michzo ya soka
 
hata bila bandiko hilo ....Liverpool ni mabingwa UCL 2018.....
 
Wewe endeleza ramli kwenye mpira, wenzako wapo uwanjani wana fanya mazoezi kuhakikisha wanabeba tena uefa...
Ni kweli lkn kumbuka huu ni uchambuzi. Huwezi kuchambua mpira bila kuangalia historia. Huyu jamaa akiwekwa meza mmoja na ww kuchambua mpira kati hizi timu mbili utapwaya.
 
Halafu kuna mshkaji wangu mmoja alinambia Liver ni timu pendwa ya malkia wa Uingereza, sasa nikiunganisha haya matokeo, kweli Napata shida sana kudhani kwamba eti vitu hua vinatokea kwa jitihada, hpe vitu hutokea kwa mipango ya watu wengine kabisa ambao wala sio wahusika
Timu anayoshabikia malkia inazaniwa ni Westham
 
Papa ataendelea kudunda, na madrid wanashinda...
 
Mkuu fainali mimi ntamuua madridi nampa liva ..naweka sh laki 4 kipato changu cha mwezi[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..... nikipiga hata mil 3 zitanitosha kununulia pikipiki mpya boxer.

The future belongs to the risk takers
 
Ningekuwa naweak mzigo simple sana

Nawapa wote kampuni tofauti
Tena kampuni hata tatu yapendeza zaid both team to score nayo imo maana hii game lazima kila mmoja apambane kupata ushindi,ukiwa na mzigo mwingi unakula tu.
 
Dunia hii inaendeshwa na watu wachache. Ndio wapanga matukio yote, yawe mazuri au mabaya, except natural disasters.
 
nimeridhika na mjadala...mtoa mada hoja zako zina mashiko ..wanaopinga wanapaswa kupinga Kwa Fact
 
Back
Top Bottom