Na mwaka 1981 fainali ilkua ni Tottenham vs man city..spurs akawa bingwa..Na mwaka 2005 fainali ya FA ilikuwa timu ya London vs Manchester utd...na man u alifungwa
2018 Fainali ya FA ilikuwa timu ya london vs Mancheter utd na Man U amefungwa jana.
Ni kweli lkn kumbuka huu ni uchambuzi. Huwezi kuchambua mpira bila kuangalia historia. Huyu jamaa akiwekwa meza mmoja na ww kuchambua mpira kati hizi timu mbili utapwaya.Wewe endeleza ramli kwenye mpira, wenzako wapo uwanjani wana fanya mazoezi kuhakikisha wanabeba tena uefa...
Timu anayoshabikia malkia inazaniwa ni WesthamHalafu kuna mshkaji wangu mmoja alinambia Liver ni timu pendwa ya malkia wa Uingereza, sasa nikiunganisha haya matokeo, kweli Napata shida sana kudhani kwamba eti vitu hua vinatokea kwa jitihada, hpe vitu hutokea kwa mipango ya watu wengine kabisa ambao wala sio wahusika
Timu anayoshabikia malkia inazaniwa ni WesthamHalafu kuna mshkaji wangu mmoja alinambia Liver ni timu pendwa ya malkia wa Uingereza, sasa nikiunganisha haya matokeo, kweli Napata shida sana kudhani kwamba eti vitu hua vinatokea kwa jitihada, hpe vitu hutokea kwa mipango ya watu wengine kabisa ambao wala sio wahusika
papa hajafaInawezekana au isiwezekane
Ningekuwa naweak mzigo simple sanaWazee wa kuweka mzigo wana kibarua kigumu kwenye hii game,ngoja tuone lakini...
Tena kampuni hata tatu yapendeza zaid both team to score nayo imo maana hii game lazima kila mmoja apambane kupata ushindi,ukiwa na mzigo mwingi unakula tu.Ningekuwa naweak mzigo simple sana
Nawapa wote kampuni tofauti
Mzee nazama kule.... Mambo ya huko yaache uko yanatisha.... Sasa hivi nimeacha kidogo maana mtu unaogopa ata kufanya vitu vya maendeleoUna VPN ? Km yes download Duck Duck Go kisha zama huko,utakayo yaaona Baki nayo moyoniMkuu kumbe na wewe unazamaga deep web?
Kule ni noma mkuuMzee nazama kule.... Mambo ya huko yaache uko yanatisha.... Sasa hivi nimeacha kidogo maana mtu unaogopa ata kufanya vitu vya maendeleo
Mkuu, weka nyumba kabisa,; liverpool anabeba ndoo mapema sana m, tena kwa goli 1-0.Nataka niwape liverpool ushindi nitie stake ya 5 milion nipate tumilioni 15 faida milioni 10