foamingarsenal tunaomba watupangie Bayern au Madrid tuuzilishie ulimwengu sio watu wa kospot spot
Mahaba kwako NifahArsenal club kubwa, chama langu kipenzi.
Katika timu zote why inaongelewa Arsenal peke yake?
Attention kubwa ni kuona Arsenal atapangiwa nani katika hatua ya mtoano. (Na hii ni kila mwaka)
Yeyote tutakayepangiwa kukutana na sisi ana bahati mbaya.
Mwaka huu tumeamua,kikombe kikubwa ni lazima.
COYG [emoji123] [emoji379]
Mkuu hapa tutamshukuru mungu kwa kutupa tunachotaka. TUTAONYESHA UCHAW WETU MPAKA SHETAN ATASHANGAAYani Arsenal hawana bahati kabisa!
Wakiwa wapili katika group obvious hupangwa na mbabe na safari huishia hapo.
This time kajikongoja walau kaongoza kundi lakini bahati mbaya vigogo wa ulaya wako nafasi ya pili teyari kummeza wenger[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Itapendeza zaidi safari ya wenga ikiishia hapa!
Arsenal v Real madrid
OVA
Sijui amekula maharage ya wapWe kilaza kweli. Umeelewa lengo la Uzi au unakurupuka tu kutoa comment?. Soma upya Uzi.
Alhamis bora nitoke out nikanywe mbege kuliko kufuatilia ndondo za vyuraMahaba kwako Nifah
Wambea wako bize kuliko wenye shughuli. Wengi waliojaa humu ni wale wanaoshiriki ile ligi ya alhamisi, siku ambayo mimi huwa niko bize na FUTUHI
Ya geitaSijui amekula maharage ya wap
let's mambo arsenal badoReal Madrid vs SSC napoli