UEFA Champions League Draw

UEFA Champions League Draw

Arsenal club kubwa, chama langu kipenzi.
Katika timu zote why inaongelewa Arsenal peke yake?
Attention kubwa ni kuona Arsenal atapangiwa nani katika hatua ya mtoano. (Na hii ni kila mwaka)

Yeyote tutakayepangiwa kukutana na sisi ana bahati mbaya.
Mwaka huu tumeamua,kikombe kikubwa ni lazima.
COYG [emoji123] [emoji379]
Mahaba kwako Nifah
Wambea wako bize kuliko wenye shughuli. Wengi waliojaa humu ni wale wanaoshiriki ile ligi ya alhamisi, siku ambayo mimi huwa niko bize na FUTUHI
 
Yani Arsenal hawana bahati kabisa!
Wakiwa wapili katika group obvious hupangwa na mbabe na safari huishia hapo.
This time kajikongoja walau kaongoza kundi lakini bahati mbaya vigogo wa ulaya wako nafasi ya pili teyari kummeza wenger[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Itapendeza zaidi safari ya wenga ikiishia hapa!

Arsenal v Real madrid

OVA
Mkuu hapa tutamshukuru mungu kwa kutupa tunachotaka. TUTAONYESHA UCHAW WETU MPAKA SHETAN ATASHANGAA
 
sipati picha chelsea hii, ingekuwapo hapo kwenye drooo..

hakika tusingekuwa na hofu na kigogo yeyote
 
naona timu za La liga zitaneemeka na sheria ya timu za kwanza na nchi moja kutokutana.
 
man city vs monaco
real vs napoli

arsenal kapona!
 
Back
Top Bottom