Good People
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 945
- 1,819
- Thread starter
-
- #81
haha ni ushauri tu, uzuri ni kwamba hata hiyo epl hamtochukua, bayern sio watu wa mchezoMaajabu ya upendo wako, utakuta unatushauri tuweke nguvu EPL ilhali timu yako ndio ile jana iliyojiimarisha kwenye nafasi ya 6
Na huyo Bayern anajua nini huwa tunamfanya pale GERMANYBaada ya kichapo kutoka kwa Bournemouth na sare jana, basi mmekali majungu tu dhidi ya Arsenal. Kwani Liverfool yeye kapangwa na nani?
Kwa taarifa yako, Arsenal na Real Madrid zimewahi kukutana mara mbili tu, mechi ya moja tukiwachapa moja bila (bao la Thiery Henry) na ya pili wakipuruchuka na kuambulia sare. We walete tu, tupo kikazi
Barca mbona kapewa mteremko
Level yao MBWANA SAMATTAPamoja timu ...YNWA...Hivi kwann Manure utd hayumo...????..
Nifah unamuita jina hilo!mbona huwa tunabahati mbaya sana... Nifah Mwana Mtoka Pabaya tutachomoka kweli??
True true...Level yao MBWANA SAMATTA
Nani mwenye bahati nzuri.Arsenal wana bahat mbaya jaman
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hana au ana.....maana mm namuonea huruma kwani sevlla wana Europa na wana kikosi hatari.....kama vipi watuulize Liverpool ile fainali....hatari tupu....Leicester ana bahati kweli
Na huyu mwehu mwingine usisahau ndio alietuuzia CECH na OZIL.Babu yenu alimnunua sylvestre,welbeck usishangae akaja kumchukua fellaini!
Kama YANGA, au sio.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huwa wanasema wamekufa kiume
Weka akiba mkuuMbuzi kafia kwa muuza soup!
Bayern v Arsenal!
Lazima Arsenal ife tu
2010/11 - R16 [emoji777]Nani mwenye bahati nzuri.
Tetemeko limekuathiri sana. Sasa Chelsea inapitia mlango gani wakati ilimaliza na namba ya kiatu cha Nwanko Kanu?sipati picha chelsea hii, ingekuwapo hapo kwenye drooo..
hakika tusingekuwa na hofu na kigogo yeyote