UEFA Champions League Draw

UEFA Champions League Draw

Mashabiki wa Arsenal mda huu

IMG_20161009_000907.jpg
 
Maajabu ya upendo wako, utakuta unatushauri tuweke nguvu EPL ilhali timu yako ndio ile jana iliyojiimarisha kwenye nafasi ya 6
haha ni ushauri tu, uzuri ni kwamba hata hiyo epl hamtochukua, bayern sio watu wa mchezo
 
Baada ya kichapo kutoka kwa Bournemouth na sare jana, basi mmekali majungu tu dhidi ya Arsenal. Kwani Liverfool yeye kapangwa na nani?

Kwa taarifa yako, Arsenal na Real Madrid zimewahi kukutana mara mbili tu, mechi ya moja tukiwachapa moja bila (bao la Thiery Henry) na ya pili wakipuruchuka na kuambulia sare. We walete tu, tupo kikazi
Na huyo Bayern anajua nini huwa tunamfanya pale GERMANY
 
Nani mwenye bahati nzuri.
2010/11 - R16 [emoji777]
2011/12 - R16 [emoji777]
2012/13 - R16 [emoji777]
2013/14 - R16 [emoji777]
2014/15 - R16 [emoji777]
2015/16 - R16 [emoji777]
2016/17 - Bayern Munich

Hiyo ni bahati njema ee!!?
 
Haki imetendeka tuliyemtaka maishani mungu katupatia. TUTAMCHAPA HUYU BAYERN COZ HATA LIGI YA NYUMBAN JAPOKUWA MBOVU KUWEPO KILELEN ANAPATA SHIDA. mlete tumuweke
 
Safari ni safari..............Arsenal kama kawaida mwisho wenu last 16! Nifah dawa niliokwambia inachemka ndio hio.
Naona umeshanunua ushabiki wa Bayern tayari...
Tusubiri wakati ufike,hutoamini macho yako.
 
Back
Top Bottom