UEFA Champions League Draw

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vipi na ule wenu wa kuringia Man U ya mwaka 1999?
Hatuna huo msemo. Baada ya 99 kuna 2008.
 
Kwenye options ya tutakaokutana nao cc Arsenal tunaombea tupangwe na Real Madrid au Bayern ili tunyoshe m2 coz mazoea yamezid
Ahahahahahaahah......ombi lako limetimia. Haya tuonesheni uwezo wenu....ahahaaha chigoma mwisho wa reliiiii
 
Ukiponda Arsenal kumbuka pia kujitaja we ni timu gan alafu toa sababu za ww kushindwa kushirik champions league uli tukupime pia
 
Na huyu mwehu mwingine usisahau ndio alietuuzia CECH na OZIL.
Kama parking yako ina bentleys na rolls royce unaweza kupunguza few mercs na bmws. Ila mnunuzi si ajabu sana akaenda kutamba mtaani kwao!
 
HV NYIE MWANITESA UTD HYO EUROPA NDOGO CJUI YA WATOTO MNAYOSHIRIK SI INGEFANYIKIA LABOUR IL TUJUE KABISA KWAMBA NI YA WATOTO WADOGO.
 
Weka full Bac tuone
PAOK vs Schalke

Hapoel Beer Sheva vs Besiktas

AZ Alkmaar vs Lyon

Borussia Monchengladbach vs Fiorentina

Krasnodar vs Fenerbahce

Rostov vs Sparta Prague

Gent vs TOTTENHAM HOTSPUR

Olympiacos vs Osmanlıspor

Celta Vigo vs Shakhtar Donetsk

Ludogorets vs Copenhagen

Villarreal vs Roma

MANCHESTER UNITED vs Saint-Etienne

Astra Giurgiu vs Genk

Anderlecht vs Zenit

Legia Warsaw vs Ajax

Athletic Bilbao vs Apoel
 
HV NYIE MWANITESA UTD HYO EUROPA NDOGO CJUI YA WATOTO MNAYOSHIRIK SI INGEFANYIKIA LABOUR IL TUJUE KABISA KWAMBA NI YA WATOTO WADOGO.
Huo ni uburura sasa kwani wewe timu IPI au ndiyo ile ya kusindikiza wezako
 
Arsenal na Man City ndo wana uhakika 100% kutoka.
 
Bayern Munhch vs Arsenal

Man utd vs St. Etiene

Nadhani umeona utofauti hapo.
 
Kwenye options ya tutakaokutana nao cc Arsenal tunaombea tupangwe na Real Madrid au Bayern ili tunyoshe m2 coz mazoea yamezid
Haya sasa Wembe huo, mmeulilia wenyeeewe [emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…