Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuna huo msemo. Baada ya 99 kuna 2008.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vipi na ule wenu wa kuringia Man U ya mwaka 1999?
Man utd vs st etienneJamani droo ya EUROPA lini mm nikajua wakitoa ya uefa na europa unatoka hapo hapo...nijuzeni jamani
Ahahahahahaahah......ombi lako limetimia. Haya tuonesheni uwezo wenu....ahahaaha chigoma mwisho wa reliiiiiKwenye options ya tutakaokutana nao cc Arsenal tunaombea tupangwe na Real Madrid au Bayern ili tunyoshe m2 coz mazoea yamezid
Weka full Bac tuoneMan utd vs st etienne
Kama parking yako ina bentleys na rolls royce unaweza kupunguza few mercs na bmws. Ila mnunuzi si ajabu sana akaenda kutamba mtaani kwao!Na huyu mwehu mwingine usisahau ndio alietuuzia CECH na OZIL.
Astra giugrgui vs genkWeka full Bac tuone
PAOK vs SchalkeWeka full Bac tuone
Huo ni uburura sasa kwani wewe timu IPI au ndiyo ile ya kusindikiza wezakoHV NYIE MWANITESA UTD HYO EUROPA NDOGO CJUI YA WATOTO MNAYOSHIRIK SI INGEFANYIKIA LABOUR IL TUJUE KABISA KWAMBA NI YA WATOTO WADOGO.
Bahati mbaya mpira hauna 100%.Arsenal na Man City ndo wana uhakika 100% kutoka.
Jamani droo ya EUROPA lini mm nikajua wakitoa ya uefa na europa unatoka hapo hapo...nijuzeni jamani
OkImetoka mbona
Wakat sisi tungekutana na hao St Etiene tungechezesha hata wachezaj walioko Injury na tungepiga mtu mkonoBayern Munhch vs Arsenal
Man utd vs St. Etiene
Nadhani umeona utofauti hapo.
Haya sasa Wembe huo, mmeulilia wenyeeewe [emoji45] [emoji45] [emoji45]Kwenye options ya tutakaokutana nao cc Arsenal tunaombea tupangwe na Real Madrid au Bayern ili tunyoshe m2 coz mazoea yamezid