Moto kwenu nyie mnaofungwa na Zorya wa pale Nangwanda cjaona. Dg cc ni wazee wa kampa tena na counter attack utafkir vita ya masharik ya katHaya sasa Wembe huo, mmeulilia wenyeeewe [emoji45] [emoji45] [emoji45]
Robo fainali
1. Man City
2. Real Madrid
3. Borussia Dortmund
4. Arsenal
5. Juventus
6. Atletico Madrid
7. Barcelona
8. Leicester
Totoke kisa? Sisi siyo watu wa muchezo tutapita na hutoaminiMtoe Leicester hapo.....
How can you respect Arsenal if they never won the most respected European Title? 😀man u, Chelsea inabidi mtueshimu tunawawakilisha
Who cares about jealousy of minor teams dreaming of competing in major league.How can you respect Arsenal if they never won the most respected European Title? 😀
Poa wewe una digrii ya uefaWe kilaza kweli. Umeelewa lengo la Uzi au unakurupuka tu kutoa comment?. Soma upya Uzi.
kuna watu hufananisha la liga na butuabutua ya EPL!?Bado timu za Spain zitaendelea kutesa ulaya. Tayari wameingiza timu nne. Barcelona, Real Madrid, Atletico Madrid, na sevilla. Wapinzani wao ni dhaifu na sioni ni kwa namna gani spain wasiingize timu nne robo fainal.
usifananishe epl na netballkuna watu hufananisha la liga na butuabutua ya EPL!?
netball wameingiza timu nne! utaona mechi za mabingwa wa butuabutua na Sevilla.usifananishe epl na netball
naona safari ya arsenane imeiva kweli arsenane ni washiriki maarufu aka wasindikizaji
Arsenal anaenda wapi? acha utaniRobo fainali
1. Man City
2. Real Madrid
3. Borussia Dortmund
4. Arsenal
5. Juventus
6. Atletico Madrid
7. Barcelona
8. Leicester
Like which Team is dreaming of competing in Major League?Who cares about jealousy of minor teams dreaming of competing in major league.
Hyo avatar weka mbal na wanafunz hahaasnetball wameingiza timu nne! utaona mechi za mabingwa wa butuabutua na Sevilla.