UEFA Champions League Draw

UEFA Champions League Draw

Haya sasa Wembe huo, mmeulilia wenyeeewe [emoji45] [emoji45] [emoji45]
Moto kwenu nyie mnaofungwa na Zorya wa pale Nangwanda cjaona. Dg cc ni wazee wa kampa tena na counter attack utafkir vita ya masharik ya kat
 
Manure utd eti nao wamefurahi baada ya droo yao kuchezeshwa....haya ...[emoji23] haya chap mkajipigie vitoto vyenu....
 
naona safari ya arsenane imeiva kweli arsenane ni washiriki maarufu aka wasindikizaji
 
Mungu wang arsenal yang tuliwakosea nn UEFA
 
Back
Top Bottom