Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kimbinu ni wazuri ila kwa arsenal wangekaa tu, bayern inapitia kipindi kigumu hasa nje ya UEFA ila bado wana nafasi ya kufanya vizuri kwangu mimi naona kungekuwa na unafuu kwa atletico madrid.Huwa wanacheza rafu sana kukuondoa kwenye mchezo wako, kisha wanatafuta goli moja wanapaki bus kumaliza mchezo.